Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,512 Reaction score 23,925 Mar 9, 2017 #101 Asante kwa pishi zuri, Watoto wangu wanayapenda mnoo hasa ukiwawekea utumbo
dyuteromaikota JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 5,929 Reaction score 8,327 Mar 9, 2017 #102 Ahsante kwa somo. Ngoja nikapractice!
kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,746 Reaction score 2,924 Mar 9, 2017 #103 demi said: Weka sukari na blueband Click to expand... ooh sukari na blueband tena
Mziwandawamama JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 1,303 Reaction score 939 Mar 10, 2017 #104 Ukitaka kuyanogesha zaidi na usiyachukie abadani ongeza na karanga mbichi pamoja na njugu wakati wa kuyapika yani yana ladha flan hivi amazing siwezi hata kuielezea inakaribiana na ile ya jigjig
Ukitaka kuyanogesha zaidi na usiyachukie abadani ongeza na karanga mbichi pamoja na njugu wakati wa kuyapika yani yana ladha flan hivi amazing siwezi hata kuielezea inakaribiana na ile ya jigjig
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,804 Reaction score 12,227 Mar 15, 2017 #105 Umesahau kutaja njugu au korosho apo.
Nalendwa JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 7,467 Reaction score 13,026 Mar 15, 2017 #106 Jamani weekend ntapika makande ya njugu mawe.
nyanimzungu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2017 Posts 1,204 Reaction score 934 Mar 16, 2017 #107 Mimi bado hujanielimisha hayo makande yako hayana kipimo kwa mfano maharage yawe kiasi fulan kwa kiasi fulani cha mahind
Mimi bado hujanielimisha hayo makande yako hayana kipimo kwa mfano maharage yawe kiasi fulan kwa kiasi fulani cha mahind
nyanimzungu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2017 Posts 1,204 Reaction score 934 Mar 16, 2017 #108 Me napendaga mixiture ya mahindi njugu na maharage aisee weka mbali na watoto matamu balaa
nyanimzungu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2017 Posts 1,204 Reaction score 934 Mar 16, 2017 #109 Hilo huitwa zege kule kwetu sio kande
Bbade JF-Expert Member Joined Mar 15, 2013 Posts 6,725 Reaction score 21,818 Mar 16, 2017 #110 demi said: Weka sukari na blueband Click to expand... Hiii umenikumbusha shule. ...boarding.[emoji106] [emoji502]
demi said: Weka sukari na blueband Click to expand... Hiii umenikumbusha shule. ...boarding.[emoji106] [emoji502]
Senee JF-Expert Member Joined Nov 16, 2015 Posts 954 Reaction score 1,053 Jun 19, 2017 #111 Mimi makande bila kuweka nyama, nazi na peanut butter hunilishi
BOMBAY JF-Expert Member Joined Apr 16, 2014 Posts 4,732 Reaction score 3,508 Jun 19, 2017 #112 Chakula kizuri Nisichokipenda hata kinakshiwe namna gani!
sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,405 Reaction score 10,637 Jun 19, 2017 #113 Hata unilipe makande hapana situmii kwakweli
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,879 Reaction score 41,971 Jun 20, 2017 #114 Mie hata niyale ndoo nzima hayanishibishi sijui kwa nin
cyrustheruler JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 2,044 Reaction score 1,869 Sep 2, 2017 #115 Mimi makande hata uyapambe na maua sili nikija kwako ukanipa makande nitakufanyia maombi makubwa sana
Mimi makande hata uyapambe na maua sili nikija kwako ukanipa makande nitakufanyia maombi makubwa sana
CarloJesus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2019 Posts 431 Reaction score 837 Dec 9, 2019 #116 Yaani hiki chakula tuseme tu jamani, tulio wengi tunakilia shida. Halafu dada/ mama zetu, hivi mkipika, ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana, tuyale jioni na kesho tuyanywee chai duuh
Yaani hiki chakula tuseme tu jamani, tulio wengi tunakilia shida. Halafu dada/ mama zetu, hivi mkipika, ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana, tuyale jioni na kesho tuyanywee chai duuh
atlas copco JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 8,497 Reaction score 9,728 Dec 9, 2019 #117 Hahahahahahah mkuu umeua
Innovator97 JF-Expert Member Joined Dec 19, 2017 Posts 274 Reaction score 375 Dec 9, 2019 #118 Hujakutana na makande yalopikwa ni fundi
CarloJesus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2019 Posts 431 Reaction score 837 Dec 9, 2019 #119 Kaka haya ratiba yake hapa nyumbani ni jtatu...yaani ndo wanaifanya jtatu inakua black Monday Hiyo ngoma tunaamka nayo kesho Tena...duh
Kaka haya ratiba yake hapa nyumbani ni jtatu...yaani ndo wanaifanya jtatu inakua black Monday Hiyo ngoma tunaamka nayo kesho Tena...duh
CarloJesus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2019 Posts 431 Reaction score 837 Dec 9, 2019 #120 Innovator97 said: Hujakutana na makande yalopikwa ni fundi Click to expand... Mkuu haya wanaweka Hadi tangawizi...lakini makande yanabaki kuwa makande
Innovator97 said: Hujakutana na makande yalopikwa ni fundi Click to expand... Mkuu haya wanaweka Hadi tangawizi...lakini makande yanabaki kuwa makande