Jinsi ya kupika makande

Jinsi ya kupika makande

Asante kwa pishi zuri, Watoto wangu wanayapenda mnoo hasa ukiwawekea utumbo
 
Ukitaka kuyanogesha zaidi na usiyachukie abadani ongeza na karanga mbichi pamoja na njugu wakati wa kuyapika yani yana ladha flan hivi amazing siwezi hata kuielezea inakaribiana na ile ya jigjig
 
Mimi bado hujanielimisha hayo makande yako hayana kipimo kwa mfano maharage yawe kiasi fulan kwa kiasi fulani cha mahind
 
Me napendaga mixiture ya mahindi njugu na maharage aisee weka mbali na watoto matamu balaa
 
Mimi makande bila kuweka nyama, nazi na peanut butter hunilishi
 
Chakula kizuri Nisichokipenda hata kinakshiwe namna gani!
 
Mimi makande hata uyapambe na maua sili nikija kwako ukanipa makande nitakufanyia maombi makubwa sana
 
Back
Top Bottom