Greataziz
Senior Member
- Feb 8, 2018
- 124
- 99
Sawa amigo nashukuruHuu uzi ungeenda jukwaa la mapishi saizi chakula kungeshaiva mngekuwa mnakula now.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa amigo nashukuruHuu uzi ungeenda jukwaa la mapishi saizi chakula kungeshaiva mngekuwa mnakula now.
HapanaUnajua kupika pasta/macaroni?
Ndio zikoje hizoUnajua kupika pasta/macaroni?
We vp ? hujui hata maana ya CHEF.Huu uzi ungeenda jukwaa la mapishi saizi chakula kungeshaiva mngekuwa mnakula now.
SawaaWe vp ? hujui hata maana ya CHEF.
kwaio toka november 19 adi leo haujala tu izo tambi?Daaah wana kudondosha Uzi step by step wabishi
Vipimo
Spaghetti - 500g
Maji - 1lita na nusu
Chumvi
Tomato ya kopo - 3 Vijiko vya supu
Tomato (fresh) - 3
Kitunguu maji - 1
Kitunguu saumu(thomu) iliyosagwa - 1 kijiko cha chai
Nyama bila mifupa - nusu kilo
Tangawizi mbichi ilyosagwa - 1 kijiko cha supu
Mafuta
Namna ya kutayarisha sosi
Nyama OSHA na ukata vipande (size) upendayo,tia sufuriani.
Itie tangawizi,chumvi nusu, na ipike kwa kuikausha moto wa chini bila kuongeza chochote paka itoe maji na kutowa harufu ya supu zima jiko.
Kwenye sufuria nyengine katakata tomato, kitunguu,tia mafuta kiasi utakacho mengine utatia kwenye spaghetti.
Weka jikoni ongeza thomu,tomato ya kopo kijiko kimoja na pika kwa nusu saa.
Saga mchanganyo wa mboga ulopika kwa machine ya kusagia (handy mixer); paka isagike kisha ongeza tena tomato ya kopo ilobakia usisage tena hapa.(si lazima kusaga)
Rojo lile la mboga, mimina nyama changanya na rudisha kwenye jiko kwa moto wa chini na iache ipikike kwa muda wa dakika 45 – 50; Na sosi itakuwa tayari.
Spaghetti
Sufuria ya nafasi tia maji weka katika jiko yaache mpaka yachemke kisha mimina spaghetti.Ziache mpaka ziive toa moja ubonyeze ukiona imewiva ,chuja maji yote.
Rudisha sufuriani kisha mimina chumvi na mafuta ulobakisha zipepete zichanganyike mafuta vizuri.Tayari kuliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Aina ya chenza linaitwa balungi ili kuweza kutofautisha na chenza n kwa rangi balungi linakuwa limekolea rangiNipo nje ya mada wakuu. Naomba kufahamu .... grape fruits kwa kiswahili Ni matunda gani??? Kama picha inavyoonekana hapo chini. Natanguliza shukurani nyingi sana.
Vipimo
Spaghetti - 500g
Maji - 1lita na nusu
Chumvi
Tomato ya kopo - 3 Vijiko vya supu
Tomato (fresh) - 3
Kitunguu maji - 1
Kitunguu saumu(thomu) iliyosagwa - 1 kijiko cha chai
Nyama bila mifupa - nusu kilo
Tangawizi mbichi ilyosagwa - 1 kijiko cha supu
Mafuta
Namna ya kutayarisha sosi
Nyama OSHA na ukata vipande (size) upendayo,tia sufuriani.
Itie tangawizi,chumvi nusu, na ipike kwa kuikausha moto wa chini bila kuongeza chochote paka itoe maji na kutowa harufu ya supu zima jiko.
Kwenye sufuria nyengine katakata tomato, kitunguu,tia mafuta kiasi utakacho mengine utatia kwenye spaghetti.
Weka jikoni ongeza thomu,tomato ya kopo kijiko kimoja na pika kwa nusu saa.
Saga mchanganyo wa mboga ulopika kwa machine ya kusagia (handy mixer); paka isagike kisha ongeza tena tomato ya kopo ilobakia usisage tena hapa.(si lazima kusaga)
Rojo lile la mboga, mimina nyama changanya na rudisha kwenye jiko kwa moto wa chini na iache ipikike kwa muda wa dakika 45 – 50; Na sosi itakuwa tayari.
Spaghetti
Sufuria ya nafasi tia maji weka katika jiko yaache mpaka yachemke kisha mimina spaghetti.Ziache mpaka ziive toa moja ubonyeze ukiona imewiva ,chuja maji yote.
Rudisha sufuriani kisha mimina chumvi na mafuta ulobakisha zipepete zichanganyike mafuta vizuri.Tayari kuliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anko muhimu fuata maelezo pika ule mwenyeweMmh wewe unawadanganya wenzio, mbona hujawahi kupikia mm, au huwa unapika wapi hayo makitu. Maelezo tafadhali
Anko muhimu fuata maelezo pika ule mwenyewe