Jinsi ya kupika tambi

Jinsi ya kupika tambi

Vipimo

Spaghetti - 500g

Maji - 1lita na nusu

Chumvi

Tomato ya kopo - 3 Vijiko vya supu

Tomato (fresh) - 3

Kitunguu maji - 1

Kitunguu saumu(thomu) iliyosagwa - 1 kijiko cha chai

Nyama bila mifupa - nusu kilo

Tangawizi mbichi ilyosagwa - 1 kijiko cha supu

Mafuta

Namna ya kutayarisha sosi

Nyama OSHA na ukata vipande (size) upendayo,tia sufuriani.

Itie tangawizi,chumvi nusu, na ipike kwa kuikausha moto wa chini bila kuongeza chochote paka itoe maji na kutowa harufu ya supu zima jiko.

Kwenye sufuria nyengine katakata tomato, kitunguu,tia mafuta kiasi utakacho mengine utatia kwenye spaghetti.

Weka jikoni ongeza thomu,tomato ya kopo kijiko kimoja na pika kwa nusu saa.

Saga mchanganyo wa mboga ulopika kwa machine ya kusagia (handy mixer); paka isagike kisha ongeza tena tomato ya kopo ilobakia usisage tena hapa.(si lazima kusaga)

Rojo lile la mboga, mimina nyama changanya na rudisha kwenye jiko kwa moto wa chini na iache ipikike kwa muda wa dakika 45 – 50; Na sosi itakuwa tayari.

Spaghetti

Sufuria ya nafasi tia maji weka katika jiko yaache mpaka yachemke kisha mimina spaghetti.Ziache mpaka ziive toa moja ubonyeze ukiona imewiva ,chuja maji yote.

Rudisha sufuriani kisha mimina chumvi na mafuta ulobakisha zipepete zichanganyike mafuta vizuri.Tayari kuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ASANTE SANA NIKITOKA KAZINI NAENDA KUFATA HATUA KWA HATUA

Nipo nje ya mada wakuu. Naomba kufahamu .... grape fruits kwa kiswahili Ni matunda gani??? Kama picha inavyoonekana hapo chini. Natanguliza shukurani nyingi sana.
 
Attachments

  • Screenshot_20191223-210819.png
    Screenshot_20191223-210819.png
    243.3 KB · Views: 20
  • Screenshot_20191223-210837.png
    Screenshot_20191223-210837.png
    233.1 KB · Views: 20
Nipo nje ya mada wakuu. Naomba kufahamu .... grape fruits kwa kiswahili Ni matunda gani??? Kama picha inavyoonekana hapo chini. Natanguliza shukurani nyingi sana.
Ni Aina ya chenza linaitwa balungi ili kuweza kutofautisha na chenza n kwa rangi balungi linakuwa limekolea rangi
Screenshot_20191223-221952~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipimo

Spaghetti - 500g

Maji - 1lita na nusu

Chumvi

Tomato ya kopo - 3 Vijiko vya supu

Tomato (fresh) - 3

Kitunguu maji - 1

Kitunguu saumu(thomu) iliyosagwa - 1 kijiko cha chai

Nyama bila mifupa - nusu kilo

Tangawizi mbichi ilyosagwa - 1 kijiko cha supu

Mafuta

Namna ya kutayarisha sosi

Nyama OSHA na ukata vipande (size) upendayo,tia sufuriani.

Itie tangawizi,chumvi nusu, na ipike kwa kuikausha moto wa chini bila kuongeza chochote paka itoe maji na kutowa harufu ya supu zima jiko.

Kwenye sufuria nyengine katakata tomato, kitunguu,tia mafuta kiasi utakacho mengine utatia kwenye spaghetti.

Weka jikoni ongeza thomu,tomato ya kopo kijiko kimoja na pika kwa nusu saa.

Saga mchanganyo wa mboga ulopika kwa machine ya kusagia (handy mixer); paka isagike kisha ongeza tena tomato ya kopo ilobakia usisage tena hapa.(si lazima kusaga)

Rojo lile la mboga, mimina nyama changanya na rudisha kwenye jiko kwa moto wa chini na iache ipikike kwa muda wa dakika 45 – 50; Na sosi itakuwa tayari.

Spaghetti

Sufuria ya nafasi tia maji weka katika jiko yaache mpaka yachemke kisha mimina spaghetti.Ziache mpaka ziive toa moja ubonyeze ukiona imewiva ,chuja maji yote.

Rudisha sufuriani kisha mimina chumvi na mafuta ulobakisha zipepete zichanganyike mafuta vizuri.Tayari kuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mmh wewe unawadanganya wenzio, mbona hujawahi kupikia mm, au huwa unapika wapi hayo makitu. Maelezo tafadhali
 
Back
Top Bottom