Jinsi ya kupika tambi

Waaow hongera,umenitamanisha kweli
 
Duuuh sijui ntatoa wap elfu tano ya soseji nipike hvyo
 
embu weka picha ya Julian naona umemtaja Mara nyingi
 
Hahahaha jaman utumbo unachukua muda mrefu sana kuiva bora maini au figo hata nyama steki
Tumia utumbo mwembamba wa mbuzi au ng'ombe, hakikisha unachemsha utumbo kwanza ndio baadae ufanye mbwembwe. Saasawa kijana
 

Acha uchoyo weka Uzi umu,..mate yashanjaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…