Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asee huyo ni twin angu mana tunapenda kupika na kushare avatar moja
Jaan una twin sister humu jf au ndo ww mwenyewe?!
Cc Madame S
Hhaahahahah sio mimi me nna id moja tu jaan
Poa madame
Mie mwenyewe nikahisi umebadili id.
Hhaahahahah sio mimi me nna id moja tu jaan
Jaan karibu nimejifunza leo....lol... nakutania km kawa ugali nipikiwe
Nimeula ki kussum style leo...
Dah! umenitamanisha aisee! hapo vinakosekana ni pilipili ya kutafuna na gudulia la maji.
ha ha ha lol wanasema ukitaka kucheki ugali ka umeiva upige ukutani ukishika ujue kitu na box!!
Ha ha ha kabisa!Ugali huu ni nomaa!!Duh, ukiutandika kwenye ukuta wa vipelevipele lazima unate!
Ugali bila noah pembeni ni dhambi kubwa sana!