Inachukua mda gani kupata registration business certificate ? Mimi nmefanya hatua zote, hadi nikalipa, na nikapewa receipt... Ila status ikaonyesha niedit anuani ya makazi in full, nikafanya... Tangu tareh 8 /5 sioni mwendelezo, zaidi ya status inayosema task... Corrections
weka nafasi yako kwenye biasharaMsaada mkuu...pale kweny representative statement natakiwa kujaza nini?
Kwa wale wanaoishi Dar salaam au wenye uwezo wa kutembelea Dar es salaam, tafadhali tembelea ofisi za Brela ghorofa ya tano kuna huduma maalum kwa wale ambao bado hawajapata vitambulisho vya NIDAAise, huko ni kudumaza maendeleo, bora wangeweka vitambulisho viwili au vitatu ukikosa hichi jnaleta hichi mfano passport au Leseni ya Gari.
Unaweza pia ongeza Agent kama aliyekusajilia ni agentHapo Jaza Director, Owner or Partner yaani inategemeana wewe ni nani katika hiyo kampuni. Na kama ni representative wa kazi hiyo
nitakutafutaMkuu hata kutoa elimu inahitaji authorization ya BRELA au hukupima ulichouliza! Hata hivyo BRELA hawana authorized agents kama ilivyo makampuni ya simu. Wao wanachotaka kampuni au biashara imesajiliwa kwa kufuata sheria na taratibu zao period.
Wenye makampuni chini ya Tarehe moja Feb 2018 unatakiwa kupakia taarifa zako kwenye mtandao halafu ujaze filing na kulipa ada husikaJe wale wenye makampuni tayari
Ngoja nifanye hivyo yangu ya 2014Wenye makampuni chini ya Tarehe moja Feb 2018 unatakiwa kupakia taarifa zako kwenye mtandao halafu ujaze filing na kulipa ada husika
Msaada wakuu..kwa mfano ndio nataka kuanza biashara ...je nitaanza kusajili kampun au jina la biashara?
Na biashara yenyew ni ile ya ya kutoa huduma za usafi..hii ita fall under which category?
Kama zipo,kama hazipo unaendelea na taarifa zingineMkuu Hapo kweny other bank account operators ni lazma kuzaja? Na kama najaza,naruhusiwa kujaza details zangu mwenyew mmilik au ?
AhsanteKama zipo,kama hazipo unaendelea na taarifa zingine
Mkuu unaelewa kweli ulichokiuliza?jamani mimi mchakato nimeufatilia kwa karibu na nimeelewa,lakini dukuduku langu ni kwamba! je achilia mbali na jina litakalopendekezwa na kiasi cha fedha ninachopaswa kugharamia, je napaswa niwe na vigezo gani {mfano elimu au umri n.k} na halafu kuna faida gani ambazo nitazipata dhidi ya mtu yule ambaye hamiliki au hana kampuni? naombeni mnifungue macho tafadhalini ndugu zangu.
Mkuu naomba nimjibu. NimemuelewaMkuu unaelewa kweli ulichokiuliza?
Wenye makampuni chini ya Tarehe moja Feb 2018 unatakiwa kupakia taarifa zako kwenye mtandao halafu ujaze filing na kulipa ada husika