Ma nyingi ndani ya masaa 72 yaani siku tatu za kazi inakuwa imetoka. Kama hauioni kwenye edit maana yake wanayo wanaifanyia kazi baada ya hapo utaoiona certificate yako ya registration unaprint maisha yanaenda mbele.
Inachukua mda gani kupata registration business certificate ? Mimi nmefanya hatua zote, hadi nikalipa, na nikapewa receipt... Ila status ikaonyesha niedit anuani ya makazi in full, nikafanya... Tangu tareh 8 /5 sioni mwendelezo, zaidi ya status inayosema task... Corrections