Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ma nyingi ndani ya masaa 72 yaani siku tatu za kazi inakuwa imetoka. Kama hauioni kwenye edit maana yake wanayo wanaifanyia kazi baada ya hapo utaoiona certificate yako ya registration unaprint maisha yanaenda mbele.

Inachukua mda gani kupata registration business certificate ? Mimi nmefanya hatua zote, hadi nikalipa, na nikapewa receipt... Ila status ikaonyesha niedit anuani ya makazi in full, nikafanya... Tangu tareh 8 /5 sioni mwendelezo, zaidi ya status inayosema task... Corrections
 
Aise, huko ni kudumaza maendeleo, bora wangeweka vitambulisho viwili au vitatu ukikosa hichi jnaleta hichi mfano passport au Leseni ya Gari.
Kwa wale wanaoishi Dar salaam au wenye uwezo wa kutembelea Dar es salaam, tafadhali tembelea ofisi za Brela ghorofa ya tano kuna huduma maalum kwa wale ambao bado hawajapata vitambulisho vya NIDA
 
DeepPond,
Ukishajisajili huko kila kitu kimeisha, certificates zote unapakua na kuchapa mwenyewe
 
Hapo Jaza Director, Owner or Partner yaani inategemeana wewe ni nani katika hiyo kampuni. Na kama ni representative wa kazi hiyo
Unaweza pia ongeza Agent kama aliyekusajilia ni agent
 
Mkuu hata kutoa elimu inahitaji authorization ya BRELA au hukupima ulichouliza! Hata hivyo BRELA hawana authorized agents kama ilivyo makampuni ya simu. Wao wanachotaka kampuni au biashara imesajiliwa kwa kufuata sheria na taratibu zao period.
nitakutafuta
 
Wenye makampuni chini ya Tarehe moja Feb 2018 unatakiwa kupakia taarifa zako kwenye mtandao halafu ujaze filing na kulipa ada husika
Ngoja nifanye hivyo yangu ya 2014
 
Msaada wakuu..kwa mfano ndio nataka kuanza biashara ...je nitaanza kusajili kampun au jina la biashara?

Na biashara yenyew ni ile ya ya kutoa huduma za usafi..hii ita fall under which category?
 
Msaada wakuu..kwa mfano ndio nataka kuanza biashara ...je nitaanza kusajili kampun au jina la biashara?

Na biashara yenyew ni ile ya ya kutoa huduma za usafi..hii ita fall under which category?
  • Kuchagua kati ya jina la biashara au kampuni inategemea target market
  • imposed capital risk
  • Kama unadeal na corporate customers kwa kuwekeza mtaji mkubwa ambao saa nyingine itakulazimu kukopa au kudaiwa, Kampuni ni uchaguzi sahihi
  • Kama business itahusisha na possibility za kushtakiwa, uamuzi wa kampuni ni boar zaidi
  • Jina la biashara inafaa kwa biashara ni ndogo ambayo itajishughulisha na watu binafsi kama wateja na pia haitahitaji kuwekeza mitaji mikubwa ya kukopa benki na pia kwa nature ya biashara possibility ya kudaiwa na au kushitakiwa ni ndogo sana
 
lembu, Kwa maelezo yako mimi nafall hapo kweny jina la biashara...
Kwamaana hiyo silazimiki ku deal na kipengele cha company pale kweny ors?
 
Mkuu Hapo kweny other bank account operators ni lazma kuzaja? Na kama najaza,naruhusiwa kujaza details zangu mwenyew mmilik au ?
 
Mkuu Hapo kweny other bank account operators ni lazma kuzaja? Na kama najaza,naruhusiwa kujaza details zangu mwenyew mmilik au ?
Kama zipo,kama hazipo unaendelea na taarifa zingine
 
jamani mimi mchakato nimeufatilia kwa karibu na nimeelewa,lakini dukuduku langu ni kwamba! je achilia mbali na jina litakalopendekezwa na kiasi cha fedha ninachopaswa kugharamia, je napaswa niwe na vigezo gani {mfano elimu au umri n.k} na halafu kuna faida gani ambazo nitazipata dhidi ya mtu yule ambaye hamiliki au hana kampuni? naombeni mnifungue macho tafadhalini ndugu zangu.
Mkuu unaelewa kweli ulichokiuliza?
 
Mkuu unaelewa kweli ulichokiuliza?
Mkuu naomba nimjibu. Nimemuelewa
1. Umri
Kisheria wote mnaotaka kusajili kampuni inabidi muwe na umri wa miaka 18 au zaidi ya miaka 18
2. Elimu
Inategemea unataka kufanya biashara gani. Kuna biashara ambazo baada ya kusajili kampuni na unataka kufanya biashara maalum mfano "pharmacy, civil engineering, business consultant, auditor et al" utalazimika kuwa na elimu ya ujuzi wa aina ya biashara unayotaka kufanya miongoni mwa hizo. Lakini hata ukija biashara za kawaida tu "general business" ni vema uwe na elimu ya ufahamu ya masuala ya biashara ili uwe na uwezo mzuri wa kuimudu biashara husika. Vinginevyo tumia washauri wa masuala ya biashara na ajiri watu katika masuala yako ya biashara na uendeshaji wa kampuni
3. Mtu asiehusika
Mtu asiehusika katika kampuni unanufaika nae kwa sababu ndiyo mteja wako. Wewe unatakiwa umshawishi kununua bidhaa au kutumia huduma unayotoa kupitia kampuni yako.
Naamini nimekujibu sahihi
Nawasilisha
 
Unlimited data/data isiyo na ukomo

Kwa mwezi 1 sh.9000.
Kwa miezi 3 sh.18,000.
Bandwidth 1mb/s

Kwa mwezi 1 15,000
Miezi 3 30000
Unlimited bandwidth.

Kuwa wakala upige pesa ndefu ni sh.40,000. Yatosha kujisajili na kupiga mihela

Kwa voda,Zantel na Airtel.wahi sasa .

Nipigie au WhatsApp sasa hivi 0621 072 026
 
Wenye makampuni chini ya Tarehe moja Feb 2018 unatakiwa kupakia taarifa zako kwenye mtandao halafu ujaze filing na kulipa ada husika

Mkuu hizi hatua kumi rahisi ni Kwa ajili ya business name registration au companies registration? Na je naweza sajili kampuni online bila kufika BRELA? Msaada pls
 
Back
Top Bottom