LOGORIDDIM
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,470
- 972
Uzi chanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HIVI NIKWELI HAWATOI CHETI?Kachukue form brela bei 5000 kisha jaza jina, objectives,na address. Ukirudisha unapewa jina lako uliloomba, nashangaa hawa jamaa hawatoi cheti ambacho kingekuwa uthibitisho wa kusajili
si kweli,ukweli ni kwamba cheti hutolewaHIVI NIKWELI HAWATOI CHETI?
una uhakika gani kama huyo binti ana nyodo?
ulishawahi kumuona?
au tu unataka tujue unajuana na ceo wa brela?
je kama mtoa post ya huyo binti ana kisasi chake personal wewe unaingilia tu bila tu kuhoji
unajiita GT mkuu kwa hili?
Mkuu Singo ili kusajili Limited Company, mtaji wa chini unaoruhusiwa ni kiasi gani? Pia tupe faida za sole proprieter vs Limited Company and vise Versa.si kweli,ukweli ni kwamba cheti hutolewa
Mtaji wa chini ni Milioni Moja, ila sikushauri usitumie mtaji huu,anzia hata na Million ,japo unaweza aza na mtaji mdogo baadae ukaongeza ,lakini memorandum and articles ya awali haitabadilika ila uta file special resolution pamoja na form ya kuongeza mtaji, kwa hiyo kujua au kuthibisha kwamba mtaji umeongezeka itakuwa kwa majibu ya barua ya official search inayotoka kwa msajili.Mkuu Singo ili kusajili Limited Company, mtaji wa chini unaoruhusiwa ni kiasi gani? Pia tupe faida za sole proprieter vs Limited Company and vise Versa.