Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kuna jamaa naona anafanya hizo kazi sana. Nicheki kama uko serious najidhamini kwa ajili yake
 
ukiingia brela kila kitu kiko wazi na haizidi 30000 ghalama siku hizi wanasajili online

Hakuna kampuni hapa Tanzania linalosajiliwa kwa fedha taslimu ulizotaja. Minimum ni kuanzia 95000 TZS na kuendelea. Hii ni kwa kampuni lenye mtaji wa kuanzia 20000 hadi milioni 1. Bado ukijumuisha na gharama za filing, stamp duty, na certificate..ambapo inaweza chezea 170000 TZS upon assessment.
 
1.Hapo ni kumuona Mwanasheria akuandalie Memarts(Memorandum and articles of association)...halafu gharama za usajili Brela zitategemea mtaji(capital) wa kampuni ni kiasi gani, pia kuna gharama za filing fees, stamp duty..gharama zote za Brela utajua baada ya kufanyiwa assessment na unalipia..na ku-file nyaraka zako.

Zikiwa successful basi kampuni itasajiliwa na tapewa hati ya usajili na utaweza kuanza kuendesha kampuni. Hii ni baada ya kujaza fomu za uadilifu(integrity) na kuweka muhuri wa kampuni yako kwenye fomu hiyo.

Hatua zote nilizoeleza hapo zinatanguliwa na stage ya name clearence..hatua hii imelenga kupata jina la kampuni na kuangalia kama halifanani na majina mengine yaliyokwisha sajiliwa. Nayo hufanyika Brela, physicaly au online.

2. Baada ya Brela unaenda TRA kwa ajili ya kuipatia kampuni utambulisho wa kulipa kodi ambako directors nao watahitajika kupata utambulisho wa kulipa Kodi...baada ya makadirio na kulipa utapewa Tax clearence ambayo itakuwezesha kupata Leseni ya biashara katika halmashauri uliyopo.

3. Kama biashara yako itahitaji leseni/compliance certificates za mamlaka nyinginezo za usimamizi basi utahitajika kufika huko na kupata leseni zao eg TCRA, OSHA,

4. Baada ya hapo basi utakuwa umekamilisha taratibu za usajili wa kampuni na post incorporation requirements. Kampuni litaanza kazi.

5. End.
Asante sana mkuu.
 
Habari wapendwa, ninaomba kwa mtu anayefanamu au anayeweza nisaidia kusajiri kampuni anielekeze tafadhali, nahitaji kufungua kampuni ya software ila sijajua utaratibu wa kusajiri ukoje, please mwenye mawazo mazuri tusaidiane.
If you’re keen on doing legitimate business in Tanzania, then you should register your business with Business Registration and Licensing Agency (BRELA) an agency empowered by the government under act No 30 of 1997 for business registration in Tanzania.

Registering your business is easy and fast. But it can be a little bit frustrating if you don’t know where to steps even the cost of registration.

In today’s article, I will show you how you can easily register your business in Tanzania and help you do it all by yourself anytime you ready.

Business Structure Options In Tanzania

Once you have got an idea to start a new business in Tanzania, is vital to make a decision in best business structure that will best work for you. Decide the type of business structure in Tanzania is very important because it help you understand the legal requirement, taxes you need to pay and the personal investment cost

Available business registration options in Tanzania are

  1. Sole propriotor
  2. Partnership
  3. Limited liability company
Sole proprietor and partnership business formation are easy and cheap to register and need few legal requirement.

The main disadvantages from set up your business using these option are

  • It is strictly for specific business.
  • Sometime it is not acceptable on tendering since it is low ranking business formation.
So if you want to give your business a professional feel, do a business with companies or bidding for tenders, I strongly suggest you form a limited liability company.

And that is an intention of this article to help you understand how to register a limited liability company in Tanzania.




Why You should register your business

Before moving any further, let’s see why is important to register your business in Tanzania.

There are several good reasons why it makes sense to register your company in Tanzania



1.You can attract funding

Your bank can easily get you money. For example, if you registered your company and you get an order to supply products worth 8,000,000. You can show them and domicile your account with them. This gives bank confidence that the money they are given you will be recovered. And the bank is assured of protection if the company is registered.

2.Gives your business professional feel

Once your register your business will open operate account and you’re going to give your bank details to all your customers. This will let them know that their money is safe with you and they will surely receive what they ordered

3.Secure your brand.

Registering your business name gives you the safety of exclusively because nobody will be allowed to use such business name. For example, I set up my this website 2 years ago. And I intended to use the name of my website as a business name. So once I went BRELA for registering www.tanzaniapetroleum.com as a business name I found the name was already taken by another business person in Tanzania. To stand out I picked up an alternative name. Never allow this happens to you



5 StepsTo register your business in Tanzania

Now, let see how you can register your business in Tanzania

In Tanzania, all business registration begin at BRELA (An agency responsible for business registration and license

Step 1.Select name for your business name

Once you select the name, Go online into BRELA website and search availability of your name.

submit your business name for name search. If the name you search is unavailable, it might already take by someone else, or it shares close similarities with the existing business name.So you should repeat the process with different names and you will finally find one.



The good new is you don’t need to physically visit BRELA office for business registration. BRELA has an online registration system that makes business registration much easier and fun.



To perform your business search and register your business name, create an account in the online Business Name Registration System (OBRS). In this online registration process, enter your email address, and phone number.



For business name registration, you will be required to provide a phone number, email, and box.



And then you will receive an email notification to confirm your registration and you will be able to search or even register your business name.

Then after. BRELA will approve your registration and you will make payment through CRDB or NMB Bank

BRELA will send you an original certificate via your postal address. This process is quite simple and doesn’t require to be a computer expert. But if you feel this is stressful work ask for help from someone else.



Step 2.

You should prepare two important documents that are memorandums of the company and article of association. And you will be required to fill a form No. 14A that gives detailed information about office location directors and company secretary.

Fill the form correctly with CAPITAL letter, submit an original filled form to BRELA and pay an applicable fee based on the magnitude and share capital of your business. and get back with a photocopy of filled form as a reference- This process it takes two days

As I said earlier, business registration fee in Tanzania is categories based on company share capital. But the cost for business registration in Tanzania is cheap that any serious entrepreneur who takes his business seriously can afford.

Now let see the government fee for the business registration In Tanzania

For company whose share capital is The 20000 to 1 million

Registration fee Tshs 95,000/=

Filling Fee Tsh 22,000 for each document, because you’re supposed to have 3 documents =22,000 ×3=66,000

Stamp duty fee for each copy of memorandum and article of association is TSH 5OOO because you nee 3 copies 5000 ×3= Tshs 15000

Stamp duty fee for form No 14b Tshs 1200

So Total cost for a company with share capital from 20,000 million to 1 million

Is 95,000 + 66,000+ 15000+ 1200=Tsh = 177,200

For a company with share capital 1 million to 5 million

Registration fee= Tshs 175000

Filling fee 3 ×22,000=66,000

Stamp duty fee 3 copy of memorandum and article of association = 3 ×5000=15000

Stamp duty fee for form No 14b Tsh 1200



Total cost is Tshs 257,200



Forcompany with share capital 5million to 20million

Total Registration Cost Tshs 342200



For a company whose share capital is Million 20 to Million 50

Total Registration Cost is Tshs 372200

For a Company whose share Capital is More than 50 Million

Total registration cost is 522200



SUMMARY FOR BUDGET IN COMPANY REGISTRATION IN TANZANIA

CompanyWhose share Capital; Total Registration Cost (Tanzania shillings)



1

20,000 to 1 million




177200



2

1million to million 5




257200
3




5Million to 20 million




342200



4

20 million to 50million




372200
5




More than 50 million




522200
Stage 3

Congratulation you have already registered your company in Tanzania. You should get back to BRELA office after few days and receive your certificate of incorporation. It takes 2 days for a BRELA to process your company certificate.

All these processes take only 5 working days.

Step 4

You should get TIN (Tax Identification number). But to get TIN you should first pay initial tax. The tax approximation depend on the annual profit you expect.

Then they 30 of the your annual profit is what will be regarded as your tax.

For exampale, if your business will generate 2,000,000 profit each year

Then you will pay 30% of 2,000,000 that’s 600,000 as a tax



Step 5

Get a business license, and depend on the type of business you are doing. Each business has its specific license.

Credit to; How To Register Your Business in Tanzania – 5 Steps
 
Msaada wadau hatua za kusajili biashara za internet cafe na Playstation games hadi kupata leseni
 
Tafadhali wana jf nina project idea ambayo nataka ni implement lakini tatizo langu ni kwamba sina mtaji na ninahitaji kusajili kampuni ili niweze kufanya huo mradi.

Nimeenda brela kufuatilia namna ya uanzishaji wa kampuni wamenipa utaratibu wao lkn bado niko njia panda namna ya kuweza kufikia mwisho.

Msaada wenu naamini kuna watu waliopitia hali hii

Shkrani zangu kwenu
 
Tafuta humu ndani kuna uzi unahusu icho kitu unacho kiitajia mkuu.
 
Tafadhali wana jf nina project idea ambayo nataka ni implement lakini tatizo langu ni kwamba sina mtaji na ninahitaji kusajili kampuni ili niweze kufanya huo mradi.

Nimeenda brela kufuatilia namna ya uanzishaji wa kampuni wamenipa utaratibu wao lkn bado niko njia panda namna ya kuweza kufikia mwisho.

Msaada wenu naamini kuna watu waliopitia hali hii

Shkrani zangu kwenu
Karibu Mkuu I-Business Consult kwa suala lako kwa ukamilifu litafanyiwa kazi.
Email:iconsultbuzness@gmail.com
Hotline: 0659211222
 
Mkuu ni rahisi tu
Hatua ya kwanza ni kujisajiri kwa kufungua akaunti na Brela katika mfumo wa online ie. OBRS!
Baada ya kuwa na akaunti utaenda katika menu ambayo utachagua aina gani ya usajili utakao kama individual, partnership, company nk
Utapendekeza jina kipekee ambalo biashara/kampuni yako iitwe
Kwa Maelezo zaidi tembelea website ya brela
Kwa msaada usisite kutucheki au kuwasiliana katika barua pepe I consultbuzness@gmail.com
Karibu

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Nili sign up OBRS nimeingiza info zote zinazohitajika lkn niki submit inaniandikia pbone number exist sijajua kwanni
 
kwa yoyote anayefahamu taratibu za usajiri wa biashara naomba anisaidie kunijuza taratibu zao ili kupata usajiri niliwai kusikia BRELA ni kwer wanausika na usajiri wa biashara
 
Back
Top Bottom