Jinsi ya kushinda kesi Mahakamani kwa kutumia "Plan B"

Jinsi ya kushinda kesi Mahakamani kwa kutumia "Plan B"

that means hakuna kuovertake wala kuingia kulia wala kushoto unajichomeka .. kwa kifupi kujitoa muhanga

Sasa naanza kupata picha, kuna aina ya watu unaweza pishana nao usiku hasa jiji la Dsm. Wanaendesha gari utadhania wanawahisha mgonjwa hospital kumbe wanawahi kuongea na mayai, ebooo :heh:
 
Ngoja nimletee mtu utata wowote umuingizie hasara halafu nipelekwe polisi kisha niwaambie nataka kesi iende mahakamani,
Najua nitatoka kwa dhamana sasa ole wako nirudi nifanye kama ulivyoelekeza
Halafu nifungwe tutajuana.

Kushinda kesi kiuhalali kunategemea the uzito wa hoja zako za kisheria na siyo uchawi.

You must support your case with facts and the existing law na siyo uchawi.

Kwa vile hapo utakuwa umekurudia kumletea utata, then itakuwa rahisi to prove mens rea na kukutwa na hatia.

Hapo lazima ukanyee debe tuu.
 
ndiyo huyu anafanya hii uchawi ngoja nimtafute mtani awe kila mwenzi ananiwekea cha juu aisee

Tena sasa iv ana Yutong zinakuja had Dar so we unaenda tu pale Ubungo ukishapanda gar yake unamwambia konda naenda kwa mzee unafikishwa
 
Sasa naanza kupata picha, kuna aina ya watu unaweza pishana nao usiku hasa jiji la Dsm. Wanaendesha gari utadhania wanawahisha mgonjwa hospital kumbe wanawahi kuongea na mayai, ebooo :heh:

siyo kuongea na mayai .. wanawahi kufukia mayai waliyoyasemesha vitu.... usiku unajua walevi kumbe hawaruhusiwa kuangalia nyuma
 
Mfano tu: Naishi Obey, ndio nishachoma zangu mananiliu sasa nianze kulisaka pori lilipo bonge la safari kisha nikitoka huko chaka natakiwa nisigeuke nyuma mweeee. Kwa nanma yeyote ile lazma nitakua naendesha gari sasa nisiangalie vioo vya gari kabisa mpaka nafika nyumbani? :shocked:

Au hii sayansi inachagua maeneo ya kufanyia mandingo ndingo? :tinfoil3:

Usiendeshe wakati umeshachoma mananiliu yako. Usiendeshe wakati umelewa.

Ukiendesha gari hakikisha unaangalia vioo vya gari hasa center mirror kila baada ya sekunde kumi.

Kabla ya kubadilisha gia au kushika breki cheki you center mirror. Ukitaka kukata kona au kuovertake check your mirrors first to make sure it is safe.

Vinginevyo utakuwa unayaweka siyo tuu maisha ya watumiaji wengine wa barabara bali pia maisha yako hatarini.
 
Tena sasa iv ana Yutong zinakuja had Dar so we unaenda tu pale Ubungo ukishapanda gar yake unamwambia konda naenda kwa mzee unafikishwa

ila nitaomba raiba za kutoa kafara nisijekushindwa kufika ,,, damu yangu adimu sana
 
that means hakuna kuovertake wala kuingia kulia wala kushoto unajichomeka .. kwa kifupi kujitoa muhanga

Then you should be banned from driving indefinitely.

Hata kuendesha baiskeli ya mbao marufuku kwa sababu utakuwa unayaweka maisha ya wengine hatarini.
 
Sasa naanza kupata picha, kuna aina ya watu unaweza pishana nao usiku hasa jiji la Dsm. Wanaendesha gari utadhania wanawahisha mgonjwa hospital kumbe wanawahi kuongea na mayai, ebooo :heh:

Na foleni yote wanakuwa wanapaa au?
 
Babu seya apewe hii taarifa nackia hata yule bondia kwny rufaa yake alitumia formula hii
 
Usiendeshe wakati umeshachoma mananiliu yako. Usiendeshe wakati umelewa.

Ukiendesha gari hakikisha unaangalia vioo vya gari hasa center mirror kila baada ya sekunde kumi.

Kabla ya kubadilisha gia au kushika breki cheki you center mirror. Ukitaka kukata kona au kuovertake check your mirrors first to make sure it is safe.

Vinginevyo utakuwa unayaweka siyo tuu maisha ya watumiaji wengine wa barabara bali pia maisha yako hatarini.

mkuu soma masharti vizuri, ushaambiwa usiangalie NYUMA :smile-big:
 
Na foleni yote wanakuwa wanapaa au?

Angalia muda uliopewa kwenye masharti, ni usiku wa saa 7 hadi 9. Mda huo nina uhakika jiji la Dsm halinaga foleni. :tongue:
 
Back
Top Bottom