miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Well tokea lini yai likaongea na kumaliza. Tupe precedent.
mimi sijui nasikia kwa huyu mleta mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well tokea lini yai likaongea na kumaliza. Tupe precedent.
Then you should be banned from driving indefinitely.
Hata kuendesha baiskeli ya mbao marufuku kwa sababu utakuwa unayaweka maisha ya wengine hatarini.
mkuu soma masharti vizuri, ushaambiwa usiangalie NYUMA :smile-big:
Angalia muda uliopewa kwenye masharti, ni usiku wa saa 7 hadi 9. Mda huo nina uhakika jiji la Dsm halinaga foleni. :tongue:
eti anaupako wa kutoa magari
kweli kabisa... ila kuridhika kazi ujue
mimi sijui nasikia kwa huyu mleta mada
Hivi kwa nini anaitwa mzee wa upako? Huwa anajipaka au anawapaka nini?
Nijue nini?
Mara nyingi ushahidi wa kusikia haukubaliwi mahakamani.
mimi bwana sitaki
Hutaki nini? Mie sijakuomba chochote though.
sitaki maswali .. weekend njema bye
Lugha za makanisa ya kileo hizi mkuu wanazielewa wenyewe
Wenyewe nani? Wanamiliki hayo makanisa au wanaoenda huko kupata upako?
Hapa naamini ni jukwaa mchanganyiko na hoja pamoja na mijadala ya kila namna hujadiliwa hapa.
JINSI YA KUFUTA/KUSHINDA KESI KWA KUTUMIA SAYANSI YETU WAAFRIKA.
mahitaji
-mvinje/mwanzi wa njano.
-Yai la kuku wa kienyeji
-maji ya baharini au ya kwenye maporoko..
-jembe lililotumika.
-jina la aliyekushtaki au hakimu au mwendesha mashtaka.
-udi(4 sticks).
hatua za kufuata
1. Ikiwa usiku tulivu wa saa 7 hadi 9 chukua yai lako na ubani kisha ingia chumbani ambako kumetulia na hakuna mtu zaidi yako.
2. Choma udi njiti zote nne kisha shika yai lako huku ukinuizia kwa kutaka kesi yako ifutwe au hukumu itoe upendeleo kwako na kumtaja mshtaki wako au hakimu au mwendesha mashtaka kwa jina kuwa alegeze moyo na asione umuhimu wa kesi hiyo.
3. Kisha chukua yai hadi porini na ukachimbe shimo kwa jembe uliloliandaa(lisiwe jipya) kisha fukia yai hilo ulilonuizia maneno yako.
4. Chukua kipande cha mvinje au kipande cha mwanzi wa njano(kumbuka hii ni aina ya mianzi) na uchomeke eneo ulikochimbia yai na uondoke pasipo kugeuka nyuma hadi chumbani ulikowasha udi pale mwanzo.
Ni sayansi yetu tu waafrika japo wengne watakuja kudhihaki hapa kwa maneno kama yesu, vigagula nk.
Kama hauko interested unapitaaaaaa!!!!!
Kama ungekuwa unatumia verified user ingekuwa rahisi kuanza na wewe ili kupambana na mauaji ya albino.Hapa naamini ni jukwaa mchanganyiko na hoja pamoja na mijadala ya kila namna hujadiliwa hapa.