that means hakuna kuovertake wala kuingia kulia wala kushoto unajichomeka .. kwa kifupi kujitoa muhanga
Ngoja nimletee mtu utata wowote umuingizie hasara halafu nipelekwe polisi kisha niwaambie nataka kesi iende mahakamani,
Najua nitatoka kwa dhamana sasa ole wako nirudi nifanye kama ulivyoelekeza
Halafu nifungwe tutajuana.
ndiyo huyu anafanya hii uchawi ngoja nimtafute mtani awe kila mwenzi ananiwekea cha juu aisee
nataka hii ya kuongea na mayai.. hayo mengine nafanya
Sasa naanza kupata picha, kuna aina ya watu unaweza pishana nao usiku hasa jiji la Dsm. Wanaendesha gari utadhania wanawahisha mgonjwa hospital kumbe wanawahi kuongea na mayai, ebooo :heh:
Mayai hayaongei. Sana sana ukiyala yatakuongezea protein mwilini kulingana na ulivyoyaandaa.
Mfano tu: Naishi Obey, ndio nishachoma zangu mananiliu sasa nianze kulisaka pori lilipo bonge la safari kisha nikitoka huko chaka natakiwa nisigeuke nyuma mweeee. Kwa nanma yeyote ile lazma nitakua naendesha gari sasa nisiangalie vioo vya gari kabisa mpaka nafika nyumbani? :shocked:
Au hii sayansi inachagua maeneo ya kufanyia mandingo ndingo? :tinfoil3:
Tena sasa iv ana Yutong zinakuja had Dar so we unaenda tu pale Ubungo ukishapanda gar yake unamwambia konda naenda kwa mzee unafikishwa
Mungu baba naomba uwalinde albino kwani waafrica (Watanzania) Bado wapo gizan
ndiyo huyu anafanya hii uchawi ngoja nimtafute mtani awe kila mwenzi ananiwekea cha juu aisee
that means hakuna kuovertake wala kuingia kulia wala kushoto unajichomeka .. kwa kifupi kujitoa muhanga
Hiyo hadi kwa mzee wa upako...anaegawa hadi magari eti
mzee wa upako mwisho wa siku anatuita MAFALA
Sasa naanza kupata picha, kuna aina ya watu unaweza pishana nao usiku hasa jiji la Dsm. Wanaendesha gari utadhania wanawahisha mgonjwa hospital kumbe wanawahi kuongea na mayai, ebooo :heh:
Ushenz.i mtupu
huyu anaongea na yai kesi inaisha
wapi imeandikwa neno albino ktk bandiko hili?
Usiendeshe wakati umeshachoma mananiliu yako. Usiendeshe wakati umelewa.
Ukiendesha gari hakikisha unaangalia vioo vya gari hasa center mirror kila baada ya sekunde kumi.
Kabla ya kubadilisha gia au kushika breki cheki you center mirror. Ukitaka kukata kona au kuovertake check your mirrors first to make sure it is safe.
Vinginevyo utakuwa unayaweka siyo tuu maisha ya watumiaji wengine wa barabara bali pia maisha yako hatarini.
Na foleni yote wanakuwa wanapaa au?
Hivi kwa nini anaitwa mzee wa upako? Huwa anajipaka au anawapaka nini?