Dah... 🤣 🤣 🤣🤣🤣🤣...Sijawahi kuona Maneno yanayotakiwa kutamkwa kwenye Ganguzi mbali mbali, yakini Chini ya 100!
Ni lazima yawe Mia na Kuendelea! [emoji57]
Nasubiri siku kuambiwa ' Rudia maneno haya,,, Mara Kumi TU [emoji1][emoji1][emoji1]!!
Mkuu ebu rudia vizur maana hujaelewekaPia kuna utaaalm maneno yankuoata hela kaa chora duara sema maneno haya 100
Thou nokou money paan bolo.”
washa mishumaa minne
Spell of money. Draw cicle.hakikisha unatamka hivo.Mkuu ebu rudia vizur maana hujaeleweka
Iyo spell of money unaitamkajeSpell of money. Draw cicle.hakikisha unatamka hivo.
Haina tofauti na akisemaPia kuna utaaalm maneno yankuoata hela kaa chora duara sema maneno haya 100
Thou nokou money paan bolo.”
washa mishumaa minne
Imekaaje hii kama una familia?Haina tofauti na akisema
"Ewe mtawala wa kiroho Nokou usiniletee chochote isipokuwa pesa" mara mia basi jini huyo husikia.
Msikuze mambo
Rakims
Kwa iyo ukitamka ivyo mara 100 ndo inakuaje mkuu rakimsHaina tofauti na akisema
"Ewe mtawala wa kiroho Nokou usiniletee chochote isipokuwa pesa" mara mia basi jini huyo husikia.
Msikuze mambo
Rakims
Nakukumbusha the software are so smart than you think.Cheza hivi kwenye casino ya Online
Mchezo unatakiwa kua na option mbili (machaguo mawili) hapa kwenye hii jupita bet tuta deal na HEAD AND TAIL mchezo wa shilingi ambao unachagua either head or tail then una spin
Ikitokea umepatia unapata mara mbili ya dau lako yaani kama ukiweka buku maana yake unapata buku mbili.
Deal na option moja tu! Kama ni tail au head ni hiyo hiyo hubadiri
Kuchagua upande mmoja maana yake ni ku ongeza uwezekano wa kuotea hata kama huna bahati...
Hivyo kama utaweka HEAD yaani
HEAD mara ya kwanza
HEAD mara ya pili
HEAD mara ya tatu
HEAD mara ya nne
TUNA PIGAJE PESA
Ukipatia unapata mara mbili ya dau lako
Ukiweka 1000 unapata 2000
Chagua HEAD
Round ya kwanza
mfano iwe TAIL yani ukose
=>hasara ni buku mbili (-2000)
Raundi ya pili
Tunaenda tena na HEAD ila safari hii una weka mara mbili yaani 4000
Assume tulekosa tena.... Yaani itoe Tail.
=>Hapo hasara ni (2000+4000=6000)
Mara ya tatu weka tena Head ila kama kawaida double tuna naweka 8000
=> hii ikitoa maana yake unakua na 160000
Umetumia(2000+4000+8000=14000) wewe una 16000 faida 2000
Yani hata Ikitokea ya tatu haija toa unaenda ya nne ambayo ndio ya Mwisho hapo ni mara mbili ya 8000 ambayo ni 16000
Unatoa 32000
Ulitumia (2000+4000+8000+16000= 30000) wewe una 32000 faida 2000
Hapa sasa ni wewe na pumzi yako kuzipiga hizo buku 2000 kwa siku
Uzuri huu mchezo haupotezi muda ndani yani Dakika kisha eleweka..
Mimi natumia Jupita - Ultimate Casino Platform
Wewe ndo elon musk au dangotemade by human like me.
Salimia mkubwa fellaam not debating
Leo nimefurahi unawaambia vijana sura halisi kongole MkuuShida ya hii huyo nokou humjui ni kiumbe wa namna gani, na hujui nini atakugharimu kwa msaada wake.
Rakims
Mpira wa miguu vipi mfano leo Yanga vs Singida saa 2:15 usiku.Well huwa napost vitu ninavyofahamu mwanzo wake na mwisho wake hivi vigeni lazima niweke pembeni
Hapo mtihani.Ijulikane wanacheza wapi nani yupo nyumbani na nani mgeni, jersey gani wanavaa