Cheza hivi kwenye casino ya Online
Mchezo unatakiwa kua na option mbili (machaguo mawili) hapa kwenye hii jupita bet tuta deal na HEAD AND TAIL mchezo wa shilingi ambao unachagua either head or tail then una spin
Ikitokea umepatia unapata mara mbili ya dau lako yaani kama ukiweka buku maana yake unapata buku mbili.
Deal na option moja tu! Kama ni tail au head ni hiyo hiyo hubadiri
Kuchagua upande mmoja maana yake ni ku ongeza uwezekano wa kuotea hata kama huna bahati...
Hivyo kama utaweka HEAD yaani
HEAD mara ya kwanza
HEAD mara ya pili
HEAD mara ya tatu
HEAD mara ya nne
TUNA PIGAJE PESA
Ukipatia unapata mara mbili ya dau lako
Ukiweka 1000 unapata 2000
Chagua HEAD
Round ya kwanza
mfano iwe TAIL yani ukose
=>hasara ni buku mbili (-2000)
Raundi ya pili
Tunaenda tena na HEAD ila safari hii una weka mara mbili yaani 4000
Assume tulekosa tena.... Yaani itoe Tail.
=>Hapo hasara ni (2000+4000=6000)
Mara ya tatu weka tena Head ila kama kawaida double tuna naweka 8000
=> hii ikitoa maana yake unakua na 160000
Umetumia(2000+4000+8000=14000) wewe una 16000 faida 2000
Yani hata Ikitokea ya tatu haija toa unaenda ya nne ambayo ndio ya Mwisho hapo ni mara mbili ya 8000 ambayo ni 16000
Unatoa 32000
Ulitumia (2000+4000+8000+16000= 30000) wewe una 32000 faida 2000
Hapa sasa ni wewe na pumzi yako kuzipiga hizo buku 2000 kwa siku
Uzuri huu mchezo haupotezi muda ndani yani Dakika kisha eleweka..
Mimi natumia
Jupita - Ultimate Casino Platform