Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

...Sijawahi kuona Maneno yanayotakiwa kutamkwa kwenye Ganguzi mbali mbali, yakini Chini ya 100!
Ni lazima yawe Mia na Kuendelea! [emoji57]
Nasubiri siku kuambiwa ' Rudia maneno haya,,, Mara Kumi TU [emoji1][emoji1][emoji1]!!
Dah... 🤣 🤣 🤣🤣🤣🤣
 
Pia kuna utaaalm maneno yankuoata hela kaa chora duara sema maneno haya 100
Thou nokou money paan bolo.”
washa mishumaa minne
 
Pia kuna utaaalm maneno yankuoata hela kaa chora duara sema maneno haya 100
Thou nokou money paan bolo.”
washa mishumaa minne
Haina tofauti na akisema
"Ewe mtawala wa kiroho Nokou usiniletee chochote isipokuwa pesa" mara mia basi jini huyo husikia.

Msikuze mambo

Rakims
 
Watu wanalalamika havifanyi kazi ila kuna misingi wanaisahau sijajua kwa lotto spell ila kwa money spell kama wewe ni mtumiaji wa pombe au wanawake kifupi kama we ni mtu wa starehe hizo spell hazifanyi kazi hata siku moja,
Utanirekebisha Rakim.

I have tried a lot na ndoto zinakuja vizuri ila nlikuja kuamsikia mtu utube ndo nkagundua kamnyweso kananifelisha sa hivi nimeacha nafanya mfungo nkimaliza najaribu tena nitaleta mrejesho
 
Haina tofauti na akisema
"Ewe mtawala wa kiroho Nokou usiniletee chochote isipokuwa pesa" mara mia basi jini huyo husikia.

Msikuze mambo

Rakims
Imekaaje hii kama una familia?
 
Cheza hivi kwenye casino ya Online


Mchezo unatakiwa kua na option mbili (machaguo mawili) hapa kwenye hii jupita bet tuta deal na HEAD AND TAIL mchezo wa shilingi ambao unachagua either head or tail then una spin

Ikitokea umepatia unapata mara mbili ya dau lako yaani kama ukiweka buku maana yake unapata buku mbili.

Deal na option moja tu! Kama ni tail au head ni hiyo hiyo hubadiri

Kuchagua upande mmoja maana yake ni ku ongeza uwezekano wa kuotea hata kama huna bahati...

Hivyo kama utaweka HEAD yaani

HEAD mara ya kwanza
HEAD mara ya pili
HEAD mara ya tatu
HEAD mara ya nne


TUNA PIGAJE PESA

Ukipatia unapata mara mbili ya dau lako

Ukiweka 1000 unapata 2000

Chagua HEAD

Round ya kwanza
mfano iwe TAIL yani ukose

=>hasara ni buku mbili (-2000)

Raundi ya pili
Tunaenda tena na HEAD ila safari hii una weka mara mbili yaani 4000

Assume tulekosa tena.... Yaani itoe Tail.

=>Hapo hasara ni (2000+4000=6000)

Mara ya tatu weka tena Head ila kama kawaida double tuna naweka 8000

=> hii ikitoa maana yake unakua na 160000

Umetumia(2000+4000+8000=14000) wewe una 16000 faida 2000

Yani hata Ikitokea ya tatu haija toa unaenda ya nne ambayo ndio ya Mwisho hapo ni mara mbili ya 8000 ambayo ni 16000

Unatoa 32000

Ulitumia (2000+4000+8000+16000= 30000) wewe una 32000 faida 2000

Hapa sasa ni wewe na pumzi yako kuzipiga hizo buku 2000 kwa siku

Uzuri huu mchezo haupotezi muda ndani yani Dakika kisha eleweka..

Mimi natumia Jupita - Ultimate Casino Platform
Nakukumbusha the software are so smart than you think.
 
Back
Top Bottom