Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Haka kamchezo kamenila pesa sana. Kuna siku nilikula laki 7 nikaendelea kilichonikuta walipiga zote saba na Tano zangu juu😂Mkuu Rakims vipi uwezekano wa kushinda mil 10 kupitia Aviator .....hii spell itafaa pia??
Kuna mshenzi aliwapiga 64M huku aliweka laki 2 tuMkuu aviator ni shida. Nakumbuka niliiset auto cashout kwenye 1.3 odds, ilichonifanya ni Mungu pekee ndio shahid
Ndio Kaka
Hamna shida mkuu.... Ninaswali la mwisho hapa kwenye mahitaji nina elfu 8 za chenchi 100,200 na 500 nyingi.... Na kwenye maelekezo nimeona kama zinatakiwa sarafu za 12000 je hii haina shida?Feed us bak
Usicheze hiyo ukiwa na pesa za mawazo utachiziNdo unaicheza vp iyo aviator
Kuna mshenzi aliwapiga 64M huku aliweka laki 2 tu
Mkuu ukicheza hiyo saa nane kama ulivyoelekezwa usiache luleta mrejesho. Pia utanielekeza jinsi ya kuicheza hiyo michezoNdio Kaka
Sawa mkuu... hofu yangu kupitiliza nitaweka alarm lakini.Mkuu ukicheza hiyo saa nane kama ulivyoelekezwa usiache luleta mrejesho. Pia utanielekeza jinsi ya kuicheza hiyo michezo
Hamna shida mkuu.... Ninaselai la mwisho hapa kwenye mahitaji nina elfu 8 za chenchi 100,200 na 500 nyingi.... Na kwenye maelekezo nimeona kama zinatakiwa sarafu za 12000 je hii haina shida?
Nenda kariakoo kwenye maduka ya dawa asiliUmeipatia wap
Rose water maduka ya dawa asili yote wanayo wanauza 1500 Kwa mkoani nilipo.Umeipatia wap
Daah, me huwa nalala saa tisa daily. Siwezi kusinzia nikilala kabla ya muda huo.Sawa mkuu... hofu yangu kupitiliza nitaweka alarm lakini.
Daah, me huwa nalala saa tisa daily. Siwezi kusinzia nikilala kabla ya muda huo.
Asante, lakini nimeshazoeaMkuu pole sana
Unaweka pesa kwenye account yako then unakwenda kwenye gemu yenyewe inaitwa aviator unaweka kiwango chochote unacho taka hapo jinsi kindege kinavyo kas hewani ndio pesa zako zinaongezeka.Hii inachezwa vipi?
Unaweka pesa kwenye account yako then unakwenda kwenye gemu yenyewe inaitwa aviator unaweka kiwango chochote unacho taka hapo jinsi kindege kinavyo kas hewani ndio pesa zako zinaongezeka. View attachment 2485208
Kwa mfano hapo kama ungekuwa umeweka elfu 10 ukiwahi kutoa kabla hakijafyatuka unapata 10,000X26.53= 265,300.
Kuna mda kinawahi kufyatuka kama unavyo ona hapo kwenye chati[emoji116]
View attachment 2485215
Kampuni gani ina hii kitu
Premier bet, betway, slotpesa n.kKampuni gani ina hii kitu
Huyu mshenzi kaweka 964.19tshs kapiga M57 leo; kudadeki
View attachment 2485221
Mkuu naona na meridian pia ipo na hapo ukitaka kuweka bet ndo wabonyeza hapo bet?Unaweka pesa kwenye account yako then unakwenda kwenye gemu yenyewe inaitwa aviator unaweka kiwango chochote unacho taka hapo jinsi kindege kinavyo kas hewani ndio pesa zako zinaongezeka. View attachment 2485208
Kwa mfano hapo kama ungekuwa umeweka elfu 10 ukiwahi kutoa kabla hakijafyatuka unapata 10,000X26.53= 265,300.
Kuna mda kinawahi kufyatuka kama unavyo ona hapo kwenye chati[emoji116]
View attachment 2485215