Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Introvert wana maisha ya raha sana popote wawapo coz si watu wa mazoea wala majungu, hili huwafanya waheshimike na kuogopeka.Binafsi kua introvert kume nisaidia sana maana watu hawajui nafikiria nini ata wenye chuki hawanielewi kabsa inshort sieleweki i Don't give a fck about anyone
Epuka majungu na mazoea, utakua na amani kazini.Wewe ambaye umeajiriwa au unajitolea au unafanya kazi yoyote na unajitafutia na wewe riziki.naomba ushauri hivi unafanyaje kushindwa uonevu au chuki eneo la kazi? Pindi Fulani mtu anakuchukia au kukuonea hata hujui ulimkosea nini
Ni hatari mkuuNimekimbilia kuja kuokota madini maana heading imekaa kama vile umeleta ushauri ,.kumbe na wewe ni kipofu aliyevaa miwani.
mimi hivyo hivyoNimekimbilia kuja kuokota madini maana heading imekaa kama vile umeleta ushauri ,.kumbe na wewe ni kipofu aliyevaa miwani.
Sasa si umtompe Shijaaa unangoja nnMbaya zaidi najitolea pesa nayolipwa haifiki 10000 kwa siku lakini nafanyiwa chuki,uonevu na mtu anayelipwa kwa mwezi milioni 2 na nusu hadi nashangaa nini nimemzidi.ni mwanamke na sijawahi kumfanyia jambo baya