Jinsi ya kushinda vikwazo au chuki kazini

Jinsi ya kushinda vikwazo au chuki kazini

jamesemm

Senior Member
Joined
Dec 24, 2024
Posts
116
Reaction score
105
Wewe ambaye umeajiriwa au unajitolea au unafanya kazi yoyote na unajitafutia na wewe riziki

Naomba ushauri hivi unafanyaje kushinda uonevu au chuki eneo la kazi?

Pindi Fulani mtu anakuchukia au kukuonea hata hujui ulimkosea nini
 
Binafsi kua introvert kume nisaidia sana maana watu hawajui nafikiria nini ata wenye chuki hawanielewi kabsa inshort sieleweki i Don't give a fck about anyone
Introvert wana maisha ya raha sana popote wawapo coz si watu wa mazoea wala majungu, hili huwafanya waheshimike na kuogopeka.
 
Wewe ambaye umeajiriwa au unajitolea au unafanya kazi yoyote na unajitafutia na wewe riziki.naomba ushauri hivi unafanyaje kushindwa uonevu au chuki eneo la kazi? Pindi Fulani mtu anakuchukia au kukuonea hata hujui ulimkosea nini
Epuka majungu na mazoea, utakua na amani kazini.
 
1. Kikubwa fanya kazi, nenda home.
2. Usiwe mchangiaji magroup ya WhatsApp ya ofisini.
3. Ukikaa sehemu mfano canteen hafu ukahisi dalili za kumsema mtu ondoka.
4. Usile demu colleague.
5. Umeenda kazini kufanya kazi sio kumake friends.
...
 
Mbaya zaidi najitolea pesa nayolipwa haifiki 10000 kwa siku lakini nafanyiwa chuki,uonevu na mtu anayelipwa kwa mwezi milioni 2 na nusu hadi nashangaa nini nimemzidi.ni mwanamke na sijawahi kumfanyia jambo baya
 
Mbaya zaidi najitolea pesa nayolipwa haifiki 10000 kwa siku lakini nafanyiwa chuki,uonevu na mtu anayelipwa kwa mwezi milioni 2 na nusu hadi nashangaa nini nimemzidi.ni mwanamke na sijawahi kumfanyia jambo baya
Sasa si umtompe Shijaaa unangoja nn
 
Back
Top Bottom