Jinsi ya kusimamisha matiti yaliyolala

Jinsi ya kusimamisha matiti yaliyolala

Kuna watu wanadisi hapa kumbe washaanza doz tangu walipoiona post tu,nawaonaaa!
 
Wanawake ni watumwa wa mambo ya urembo usikite wataenda kufanya alafu sisi usiku tunyonye uchungu wa alovera
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwii
 
In addition mimi nachofahamu kuna mazoezi ya kufanya maziwa yawe firm kwa wale ambao tunataka yawe firm zaidi, na kwa wale ambae yao yameshalala kabisa. Hata youtube ukisearch unakuta hizo program za mazoezi zipo kabisa.
 
77b0ac78402ce288ba42a077a7294f60.jpg
 
In addition mimi nachofahamu kuna mazoezi ya kufanya maziwa yawe firm kwa wale ambao tunataka yawe firm zaidi, na kwa wale ambae yao yameshalala kabisa. Hata youtube ukisearch unakuta hizo program za mazoezi zipo kabisa.

Kama nakuona vile [emoji39][emoji39][emoji7]
 
Hiyo tiba mbadala najua italeta kilio kikubwa na lawama kwa wanaume maana watalamba uchungu daily..
 
Maziwa kulala ni kama kuku akienda kwa mganga harudi kamwe! unless ukalifanyie upasuaji.
 
Wanaume mtawauwa wanawake kisa kuwatengenezea mazingira ya kuwavutia ninyi tu.
Wigi, nyusi bandia, malipstick, kope feki, kucha feki, mapoda, kupaka sijui nini ktk makalio ili yanone, kwenye papuchi kupaka sijui nini? Uchafuu lundoooo wanawake wanajitwisha kisa kumvutia mwanaume.
 
Kama ni maumbile yake unataka kumfundisha Mungu kazi?? Akubaliane tu na hali yake
 
Back
Top Bottom