Jinsi ya Kusitisha Uchaguzi Usiofuata Sheria na Kuhakikisha Mshindi Halali Anatangazwa

Umenena kweli mkuu. Sisi huku Kijijini wala hatujui nini maana ya No reform No Election bora hata wangekumia Kiswahili. Pia sisi huku mabadiliko ya sheria za uchaguzi sio kipaumbele chetu. Wajikite kwenye kupaza sauti juu ya changamoto zetu kwanza (Elimu bure, Huduma za Afya, Ukosefu was Pembejeo za Kilimo, Uchakavu na Ubovu was Miundombinu, Ukosefu was Maji safi na salama, Ugumu was Maisha unapelekea kula mlo mmoja kwa Sikh nk) hapo tutawaelewa. Wakijikita na kuwekeza nguvu kwenye hizo Agenda tutawaelewa na wataona nguvu yetu sisi (Wakulima, Wafugaji, Wavuvi, na wengine aina yetu).
Huo ndio ujinga wa chadema unatumia kauli ya luga ya English Kwa nchi inayoongea kiswahili na wasomi wachache
 
Jinsi ya Kusitisha Uchaguzi Usiofuata Sheria na Kuhakikisha Mshindi Halali Anatangazwa:
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Ibara ya 21(1), inasema Hapa https://www.nps.go.tz/uploads/documents/sw-1708320157-KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977 (1).pdf :

“Kila raia wa Jamhuri ya Muungano anayo haki ya kushiriki katika shughuli za utawala wa nchi, ama moja kwa moja au kwa kupitia kwa wawakilishi walioteuliwa kwa hiari yake kwa njia ya uchaguzi ulio huru na wa haki.”

Hii ina maana kuwa uchaguzi usiofuata misingi ya uhuru na haki ni ukiukaji wa haki ya msingi ya raia. Ibara hii inaweza kutumika kama msingi wa kupinga uchaguzi utakao fanyika in breach of fundamental rights au uliojaa dosari.

Mfano halisi:
kifungu cha 111(1) kinasema:

“Mtu yeyote anaweza kufungua kesi ya kupinga uchaguzi wa Mbunge kwa misingi ya kutokuwepo kwa uhalali katika uchaguzi huo.”

Hii inahakikisha kuwa tume ya uchaguzi na mahakama zina mamlaka ya kushughulikia uchaguzi uliofanyika kinyume na taratibu. Msiniulize ktk uhalisia, ni jukumunla serikali kuhakisha kwamba raia wanapata hakli zao hata kama hawa uwezo wa kifedha kufungua kesi. Kukosa fedha kisiwe ni kichaka kukandamiza haki za watu.

Katika jamii yoyote yenye demokrasia ya kweli, uchaguzi ni msingi muhimu wa kuhakikisha kuwa sauti ya wananchi inasikika. Hata hivyo, kuna nyakati ambapo uchaguzi hauendeshwi kwa mujibu wa Katiba au sheria, na matokeo yanayopatikana hayawakilishi matakwa ya watu. Katika hali kama hiyo, ni jukumu la raia, vyombo vya sheria (wakiwemo polisi- vingenevyo nao pia wafunguliwe kesi- deliction of duties kwa kutowakamata wavunja sheria- kama wasimamizi wa uchaguzi- mchana kweupe ), vyombo vya habari, na taasisi huru kuhakikisha kuwa uchaguzi huo unasitishwa na mshindi halali ndiye anayekabidhiwa madaraka.

Hapa chini ni njia mbalimbali za kuzuia au kusitisha uchaguzi usiofuata taratibu:

1. Kutoa Malalamiko Rasmi Kupitia Tume Huru ya Uchaguzi. Tume lazima itoe majibu kabla ya uchaguzi kwamba itafuata miongozo iliyowekwa na mshindi halali kutangazwa.

Kila nchi humu duniani ina tume ya uchaguzi inayopaswa kusimamia uchaguzi kwa haki na uwazi. Endapo kuna ushahidi kuwa uchaguzi haukufuata sheria—kama vile kununua kura, vitisho kwa wapiga kura, au kuchezea matokeo—raia au vyama vya siasa vinaweza kuwasilisha malalamiko rasmi kwa tume hiyo. Ikiwa tume ni huru (kama inavypitwa) na ya haki, italazimika kusitisha au kurudia uchaguzi huo.

2. Kufungua Kesi Mahakamani kabla na baada ya uchaguzi:

Mfano halisi: Katika kesi ya Christopher Mtikila v. Attorney General (1995), Mahakama ilisisitiza kuwa haki ya kuchagua na kuchaguliwa ni ya msingi na inapaswa kulindwa kwa hali yoyote.

Huwezi kuona haki yako inachezewa au na inaenda kuchezewa na wewe kunyamaza tu. Mahakama ni chombo cha mwisho cha kutoa haki. Ikiwa tume ya uchaguzi haichukui hatua, vyama au wananchi wanaweza kuwasilisha kesi mahakamani- kupinga uchaguzi usifanyike maana ukifanyika ni kukiuka Katiba p- breach of fundamental rights and bills of rights- kwamba mara nyingi mshindi hatangazwi.

Katika historia ya mataifa mengi mfano kwa majirani Kenya, mahakama zimeweza kubatilisha uchaguzi uliojaa udanganyifu na kuamuru urejelewe au mshindi halali kutangazwa. Kesi zinapaswa kufunguliwa sasa katika kila Kijiji na hao wanaotaka kusimamisha uchaguzi hadi kesi ya msingi iamuliwe- referee wa uchaguzi – mteuliwa wa Raisi- hayuko qualified kusimamia uchaguzi. Hii kesi itachukua uda mrefyu sana kusikilizwa na maana yake ni kwamba, uchaguzi lazima utasimamishwa tu hadi kesi ya msingi ipatiwe majibu. Wanasheria vipanga wa chadema kazi mnayo.

3. Kushirikisha Vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii.
Katika zama hizi za teknolojia, habari zinasambaa kwa haraka mpaka kwenye vitochi. Ikiwa kuna ushahidi wa wazi kuwa uchaguzi hautakuwa wa haki, ni muhimu kuushirikisha umma kupitia vyombo vya habari huru na mitandao ya kijamii. Shinikizo la umma linaweza kulazimisha mamlaka kuchukua hatua haraka kusitisha uchaguzi batili. Petition ni ya sahihi walau milioni 20 ni muhimu- zipelekwe tume, kwa Bunge, Raisi na wahusika, vinginevyo ni kukaribisha machafuko na mauwaji yasiyo ya msingi.

Na kwa mujibu wa Sheria ya Haki ya Kupata Habari ya mwaka 2016 (Access to Information Act), wananchi wana haki ya kupata taarifa kuhusu masuala ya uchaguzi. Vyombo vya habari vinaweza kusaidia kuonyesha kasoro zilizopo kwenye uchaguzi na kutoa majukwaa ya majadiliano ya wazi. Rejea kauli maarufu ya aliyekuwa Jaji Mkuu wa Kenya, David Maraga, wakati wa kufuta uchaguzi wa urais mwaka 2017 ni ya kuigwa:

“Mahakama haiwezi kuruhusu matokeo ya uchaguzi uliojaa ukiukwaji wa sheria, hata kama ni rais aliyechaguliwa. Sheria ni msumeno.”

Hii inasisitiza kuwa hakuna aliye juu ya sheria, na haki lazima itendeke sio hizi Habari za gori la mkono ambalo sasa wahusika wake wanajutia kutoa kaulimkama hizo.

4. Mikakati ya Amani ya Kiraia (Civil Resistance)
Kwa mujibu wa Mkataba wa Afrika kuhusu Demokrasia, Uchaguzi na Utawala Bora (African Charter on Democracy, Elections and Governance), nchi wanachama zimekubali kushughulikia changamoto za uchaguzi usio wa haki kwa kushirikiana na mashirika ya kimataifa. Ibara ya 17(1) ya mkataba huu inasema: “Nchi wanachama zitahakikisha kuwa uchaguzi unafanywa kwa njia huru, ya haki, uwazi, na kwa mujibu wa katiba ya taifa husika.”

Mashirika ya kiraia pia yana nafasi muhimu katika kufuatilia uchaguzi, kutoa elimu kwa wapiga kura, na kushinikiza marekebisho ya sheria, kazi ianze sasa, sio tu kusubiria Chadema ya Tundu Lisu ifanye kazi.

Wananchi wanaweza kutumia njia za amani kama maandamano, migomo, na kampeni za kutotii sheria (civil disobedience) ili kushinikiza kusitishwa kwa uchaguzi usio wa haki. Historia inaonyesha kuwa nguvu ya umma, inapofanywa kwa amani na mshikamano, inaweza kuleta mabadiliko makubwa. Mengine, mtajiongeza wenyewe.

5. Kushirikisha Jumuiya za Kimataifa.

Katika mazingira ambapo taasisi za ndani zimepoteza uaminifu, ni muhimu kuomba msaada kutoka kwa mashirika ya kimataifa kama Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika, au mashirika ya haki za binadamu. Taasisi hizi zinaweza kuweka shinikizo kwa serikali au kutoa uangalizi wa kimataifa ili kuhakikisha haki inatendeka.

6. Kushiriki katika Uchaguzi na Kuhakikisha Mshindi Halali Anatangazwa katika kila kituo cha uchaguzi.
Baada ya uchunguzi wa kutosha, ni muhimu kuhakikisha kuwa mshindi halali ndiye anatangazwa. Hii ni kwa mujibu wa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi (Election Ethics Guidelines) zinazotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, ambazo zinasisitiza uadilifu, uwazi, na ukweli katika kutangaza matokeo.

Kauli ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, inasisitiza:

“Uongozi ni dhamana. Ni wajibu, si heshima tu. Na wajibu huo ni wa kusema kweli na kutenda haki.”

Baada ya kuchunguza ushahidi wote, ni muhimu kuhakikisha kuwa mshindi halali wa uchaguzi ndiye anayetangazwa. Hii hujenga imani kwa wananchi na kuimarisha demokrasia. Vyombo vyote vinavyohusika, kuanzia tume ya uchaguzi hadi mahakama, vinapaswa kutenda haki bila upendeleo, hata Nape Mnauye kasema anataka haki na anajutia kauli yake ya gori la mkono.

Mwisho, povu ruksa bila matusi na ukipenda kuongeza njia mbadala ongezea. Nchi ni yetu sote ikiwemo CCM. Ni dhahiri kuwa uchaguzi usiofuata sheria si tu unakiuka haki za wananchi bali pia unahatarisha amani ya taifa. Ni lazima kusimama kidete kutumia katiba, sheria, na taasisi huru kuhakikisha uchaguzi usiofata haki , utakuwa batili ab nitio na unasitishwa, na mshindi halali wa uchaguzi anatangazwa kama utafanyika. Kwa kufanya hivyo, tutalinda msingi wa demokrasia, haki, na utawala bora kwa vizazi vijavyo.

Uchaguzi usiofuata Matakwa ya wananchi, Katiba au sheria ni tishio kwa demokrasia, amani, na maendeleo ya taifa. Ni wajibu wa kila mwananchi kulinda mchakato wa kidemokrasia kwa kuhakikisha kuwa Katiba, haki, Amani, sheria zinafuatwa kikamilifu. Kwa kutumia njia za amani na za kisheria, inawezekana kusitisha uchaguzi haramu na kumrejeshea haki mshindi halali wa kura ya wananchi.
Demokrasia ya kweli hujengwa kwa haki, uwazi, na uwajibikaji. Tuwe walinzi wa haki hiyo.
Mainstream media sio tu corrupt ila zimeingizwa mfukoni kwa mwajiri a.k.a mhimili uliojichimbia zaidi,Mtoa haki naye anaambiwa nikulipe mshahara na maviieite halafu utoe haki kwa mpinzani,hata baadhi ya Ngo ni vipaza sauti vya chama Twawala na mhimili uliojichimbia hivyo hapa kilichosalia ni wanaojitambua wajitetee na kuwatetea walio chini ya unyonyaji wa Twawala ya ngozi nyeusi a.k.a mkoloni mweusi.Zingine porojo na kupotezeana muda.
 
Bandiko zuri sana, mbali ya njia nyingine wanazotumia cdm, njia za huyu mdau nazo ni muhimu zitumike. Na ww mleta mada kwakuwa una uelewa huu wa kisheria, fanya upande wako kuhakikisha tunapata uchaguzi huru na wakati katika njia hiyo ya kisheria. Safari hii hakuna kuacha njia yoyote sahihi kuhakikisha heshima ya box la kura inarejea.
Tlaatlaah kipara kipya
Uhuni na wahuni wamezidi kuwa wengi tena wenye jeuri na kibrii
 
Naam
 
Reforms zitasaidia hata CCM
 
SAWA, je ikiwa hapa kwenye jukwaa hili wanakataa no, reform no election na elimu wanapatiwa lakini bado wanabisha. Ingawa ni haki mtu yeyote kuchagua anachotaka bila kuvunja Sheria. Nadhani Kuna walioelewa na wengine bado. Maadmini wa jamiiforum, tuandalieni kura ya maoni hapa hapa jukwaani ili tupate nafasi ya kuona ikiwa no R no E imeeleweka. Asanteni.
 
Safi sana... waingie kwenye uchaguzi na wahakikishe mshindi anatangazwa , hapo pa kutangazwa mshindi ndipo penye Tatizo.
Hata kuenguliwa wagombea na mawakala kufukuzwa na ubadilishaji wa matokeo ni issue zinazohitaji mwafaka.
 
SAWA, je ikiwa hapa kwenye jukwaa hili wanakataa no, reform no election na elimu wanapatiwa lakini bado wanabisha. Ingawa ni haki mtu yeyote kuchagua anachotaka bila kuvunja Sheria. Nadhani Kuna walioelewa na wengine bado. Maadmini wa jamiiforum, tuandalieni kura ya maoni hapa hapa jukwaani ili tupate nafasi ya kuona ikiwa no R no E imeeleweka. Asanteni.
Maadmin wa humu sijui kama watakusikia, labda kama kuna member humu anayejua kuiweka hiyo poll, aje asaidie hiyo poll ya NoReNoE.
 
Bandiko zuri sana, mbali ya njia nyingine wanazotumia cdm, njia za huyu mdau nazo ni muhimu zitumike. Na ww mleta mada kwakuwa una uelewa huu wa kisheria, fanya upande wako kuhakikisha tunapata uchaguzi huru na wakati katika njia hiyo ya kisheria. Safari hii hakuna kuacha njia yoyote sahihi kuhakikisha heshima ya box la kura inarejea.
Tlaatlaah kipara kipya
Hawezi kufanya lolote huyu. Ujuaji wa kukopi na kupest nyuma ya kompyuta ni tofauti kabisa na kufanya kazi field. Maneno meeengi ukimwambia njoo uwanjani utekeleze ndio utaelewa namaanisha nini
 
Back
Top Bottom