Mshangazi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,143
- 4,462
Wakuu leo nitawapa siri nyepesi ya kutambua kama simu yako ni original au MCHINA yaani fake (feki!). Ni rahisi sana coz haihitaji uwe JF expert technician kufuata hatua hizi
1. Angalia unapoiwasha kama inaweka logo ya apple au neno iphone. Ukiona inaweka logo nyingine yoyote kama samsung, tecno sijui oppo au infinix ujue ni feki itupe haraka.
2. Angalia oparating system yako kama ni iOS. Ukiona inasema ni Android ujue ni fake ivunje haraka kabla haijakulipukia
3. Jaribu kuisync na apple iphone earpods, ukiona inashindwa kuconnect na earpods lakin inakubali earphone zingine za kichina ujue na yenyewe ni ya kichina na fake. Tumbukiza chooni.
4. Angalia nyuma ya cover kama imeandikwa redmi, itel, tecno, samsung, infinix au neno lolote tofauti na iphone ujue ni fake. Tupa kwenye flyover za ubungo idakwe na kunguru.
Kwa ufupi hizo ni clues chache za kutambua simu fake