kitalolo
JF-Expert Member
- Dec 4, 2006
- 1,827
- 708
Niambie umri wangu...
una miaka 40 na kuendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niambie umri wangu...
ff -50
mimi unaweza kadiria kwa picha
haya, bashiri umri wangu mkuu!
una miaka 40 na kuendelea
una miaka 40 na kuendelea
Really...?
Really...?
mbona wanakuzeesha?
Mie nshasema nina 16, wasinitabirie kabisa.
Kiingereza chako kizuri kinakuponza. Inakuwa rahisi kukukadiria. Upiga umande mkuu.30s!hahaha
Mkuu, 28!
kongosho,pamoja na kukupigania kote kule si jamaa wamefunga ile thread ya lile taji!kama vipi ukitaka kuandama mi nakuunga mkono,lakini ktk maandamano utakuwa mbele yangu,sikuamini kabisa wewe kongosho uwe nyuma yangu!
ukweli gani ndugu?
Anayejua umri wangu ni mama yangu aliyenizaa. Wewe ume guess tu na umekosea. Sasa nisiseme kama umekosea?
Au wewe ndiyo mama yangu mzazi? Lol
manake jf msitu....unaweza kabisa ukawa ndiye mama yangu mzazi uliyenizaa.
kongosho,pamoja na kukupigania kote kule si jamaa wamefunga ile thread ya lile taji!kama vipi ukitaka kuandama mi nakuunga mkono,lakini ktk maandamano utakuwa mbele yangu,sikuamini kabisa wewe kongosho uwe nyuma yangu!
mim naombeni tu mniambieni jinsia yangu ya ukweli kama mnaweza.Umri wangu nawatajia ni late 40s.
aisee kumbe kiingereza kizuri nacho ni kigezo cha umri???hhii naipinga haiko relevant kabisa