Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,425
- 726
- Thread starter
- #221
makubwa haya
Yapi mkuu?Yatataje kwa faida yetu sote bana!ha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
makubwa haya
nahisi umewabahatisha hao hao ce wengine hutupati ng'ooooo
Dah! Wewe noumer japo umekosea. Ni 27 sasa!
Hakuna hicho. Hanijui na anabahatisha tu. Hakuna "anayenijua" humu. That is a guarantee.
nimenyang'anywa taji bana
mwakani ntagombea mwenye mwandiko mzuri jf.
kamuulize matheri yako kwanza, labda kajiunga wewe hujui. Haaaaaaaaaaaa haha
Niambie umri wangu...
Mimi nakujua si wewe uliyekuwa unasoama pale british councel mwakaj ana?
Hakuna anayeweza kuzania kuwa nina miaka 38.
British Council naisikiaga tu! Sijui hata iko wapi.
Hakuna mtu yeyote anayenijua humu. And that is a fact.
nilikuuliza nikutaje jina lako?
Mwajuma unataka kudundwa sasa...ooohoooooo....weee lete tu hayo maskhara yako.
Ukweli gani ndugu?
Anayejua umri wangu ni mama yangu aliyenizaa. Wewe ume guess tu na umekosea. Sasa nisiseme kama umekosea?
Au wewe ndiyo mama yangu mzazi? Lol
Manake JF msitu....unaweza kabisa ukawa ndiye mama yangu mzazi uliyenizaa.
Dah Mkuu NN umeniacha hoi kwa kicheko teh teh teh tmmmmhh teh
Mimi nakujua si wewe uliyekuwa unasoama pale british councel mwakaj ana?
nikadirie na mimi bas shekh!