Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,425
- 726
- Thread starter
- #241
Hakuna anayeweza kuzania kuwa nina miaka 38.
Husninyo uchokozi huo!wewe??teenager bana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna anayeweza kuzania kuwa nina miaka 38.
British Council naisikiaga tu! Sijui hata iko wapi.
Hakuna mtu yeyote anayenijua humu. And that is a fact.
Mwajuma unataka kudundwa sasa...ooohoooooo....weee lete tu hayo maskhara yako.
Sio rahisi namna hiyo. Ila unaweza kuhisi kwa kuangalia namna ya uchangiaji ukajua huyu ni mwanafunzi shule au chuo
huyu ni mfanyakazi ..........
hehehe! Haya basi, usije ukaniharibu reception maana kwa mchina haipo. Lol.
Vipi kuhusu avatar yangu?
Aahahahahahaa Mwajei bana.....