Jinsi ya Kutambua Umri wa Mwana-JF

Tabiri umri wangu sasa, ili niwe na imani na hayo uliyoandika.
 
mbona wanakuzeesha?

Mie nshasema nina 16, wasinitabirie kabisa.

kongosho,pamoja na kukupigania kote kule si jamaa wamefunga ile thread ya lile taji!kama vipi ukitaka kuandama mi nakuunga mkono,lakini ktk maandamano utakuwa mbele yangu,sikuamini kabisa wewe kongosho uwe nyuma yangu!
 
Kiingereza chako kizuri kinakuponza. Inakuwa rahisi kukukadiria. Upiga umande mkuu.30s!hahaha

aisee kumbe kiingereza kizuri nacho ni kigezo cha umri???hhii naipinga haiko relevant kabisa
 
nimenyang'anywa taji bana
mwakani ntagombea mwenye mwandiko mzuri jf.

kongosho,pamoja na kukupigania kote kule si jamaa wamefunga ile thread ya lile taji!kama vipi ukitaka kuandama mi nakuunga mkono,lakini ktk maandamano utakuwa mbele yangu,sikuamini kabisa wewe kongosho uwe nyuma yangu!
 
ukweli gani ndugu?

Anayejua umri wangu ni mama yangu aliyenizaa. Wewe ume guess tu na umekosea. Sasa nisiseme kama umekosea?

Au wewe ndiyo mama yangu mzazi? Lol
manake jf msitu....unaweza kabisa ukawa ndiye mama yangu mzazi uliyenizaa.

kamuulize matheri yako kwanza, labda kajiunga wewe hujui. Haaaaaaaaaaaa haha
 
kongosho,pamoja na kukupigania kote kule si jamaa wamefunga ile thread ya lile taji!kama vipi ukitaka kuandama mi nakuunga mkono,lakini ktk maandamano utakuwa mbele yangu,sikuamini kabisa wewe kongosho uwe nyuma yangu!

hahaha!maneno mazito hayo mkuu!andamaneni yeye mbele wewe nyuma mimi ntakuwa videocameraman aiseee!
 
aisee kumbe kiingereza kizuri nacho ni kigezo cha umri???hhii naipinga haiko relevant kabisa

Kwa mazingira yetu mkuu kibongobongo.Fluency in that queen's language can tell something hidden out of someone's status.Ila hata hivyo nakubali kupingwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…