Jinsi ya Kutambua Umri wa Mwana-JF

nimenyang'anywa taji bana
mwakani ntagombea mwenye mwandiko mzuri jf.

hahaha! kwa mwandiko lazima utatwaa taji.Ila hata avatar ungeiingiza shindanoni. Siku ya Wanawake Duniani ingetwaa tuzo hiyo!
 
Hakuna anayeweza kuzania kuwa nina miaka 38.
 
Sio rahisi namna hiyo. Ila unaweza kuhisi kwa kuangalia namna ya uchangiaji ukajua huyu ni mwanafunzi shule au chuo
huyu ni mfanyakazi ..........
 
Ukweli gani ndugu?

Anayejua umri wangu ni mama yangu aliyenizaa. Wewe ume guess tu na umekosea. Sasa nisiseme kama umekosea?

Au wewe ndiyo mama yangu mzazi? Lol

Manake JF msitu....unaweza kabisa ukawa ndiye mama yangu mzazi uliyenizaa.

Dah Mkuu NN umeniacha hoi kwa kicheko teh teh teh tmmmmhh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…