Jinsi ya Kutambua Umri wa Mwana-JF

Jinsi ya Kutambua Umri wa Mwana-JF

Mh!Mama tena na midevu yote hii!Ngoja niondoke!
 
Mimi nina 45, je wewe katika makadirio yako kutokana na maandishi yangu ulikadiria kuwa nina miaka mingapi?

Umetaja umri tayari. Japokuwa uandishi wako unaonyesha calibre yako pia. Unatumia vituo, kutochanganya herufi, mmh hapo mkuu yaweza kuwa ndipo kama sipo basi pamekosewa vizuri!haha
 
sijui mimi ntakuwa wapi?
Hala hala na mafungu ya milongo
naomba mnikadirie machache sana

kuna kiserengeti nakiwinda.
 
Hahaha hapana mkuu, Eiyer aweza kuwa jirani na kwenu mazungumzo ya ndugu jamaa na marafiki yakamsaidia kukutambua!

Hakuna hicho. Hanijui na anabahatisha tu. Hakuna "anayenijua" humu. That is a guarantee.
 
Hakuna hicho. Hanijui na anabahatisha tu. Hakuna "anayenijua" humu. That is a guarantee.

NN: ooohoh kuna watu walikushuhudia unasurf na wakaona screen ina picha ya huyo mtoto wakagundua kwamba kumbe ndo NN huyu!
 
Back
Top Bottom