Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,425
- 726
- Thread starter
- #41
Wewe najua kabisa una 40-42....Usibishe na umemaliza form4 mwaka 1989...upo?
Umemkadiria vizuriiiiiii!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe najua kabisa una 40-42....Usibishe na umemaliza form4 mwaka 1989...upo?
sijui mimi ntakuwa wapi?
Hala hala na mafungu ya milongo
naomba mnikadirie machache sana
kuna kiserengeti nakiwinda.
Kigezo kingine nilicho kiacha ni "avatar'! 23-29!hahaha
NN: ooohoh kuna watu walikushuhudia unasurf na wakaona screen ina picha ya huyo mtoto wakagundua kwamba kumbe ndo NN huyu!
dah kaka NN upo!?.wakati flan niliona kama umetoweka hapa JF?
Tatizo ni kuwa wewe unanifahamuWewe najua kabisa una 40-42....Usibishe na umemaliza form4 mwaka 1989...upo?
nina 34.
Hahaha!Mkuu, hivi mara ya mwisho uliona maandamano lini?
Walinishuhudia wapi?
Hiyo haiwezekani.
Walikushuhudia kiintelejensia!haha
Tatizo ni kuwa wewe unanifahamu
Hakuna hiyo...I am incognito!
You are cognito mkuu!
Sijawahi ona!Ndo gari gani hilo?