Jinsi ya Kutambua Umri wa Mwana-JF

Jinsi ya Kutambua Umri wa Mwana-JF

sijui mimi ntakuwa wapi?
Hala hala na mafungu ya milongo
naomba mnikadirie machache sana

kuna kiserengeti nakiwinda.

Kongosho: Jina kwa jina lako si rahisi kupata umri wako. Ila kwa Avatar yako kweli unawinda kiserengeti!haha
 
Guessing from Language and Avatars you are. Strange person indeed.

Only a fool cant see that. May the force be with you always and every where.

A good assignment you have given yourself. To Keep busy you want. Keep it up and dont turn it loose.
 
andikie mate hukuu wino upo? Njia rahisi ni kumuuliza na atakupa jibu saawia bila ya zengwe...............wengine umri wetu siyo tumeuweka kwenye profiles zetu....
 
ukisha ujua umri kipi kitafuata, humu watu hubadilika kutokana na mazingira ya thread. Wengine humu wanavipara lakini maneno kama pamoko sana hayawapigi chenga
 
uko sahihi mkuu,kigezo kingine ni topic anazoanzisha mtu....utasikia demu wangu,au kuna kijana leo kapost anaomba ushauri eti jinsi ya kumpata rafiki wa mpenzi wake!yani hapo unahisi kabisa umri wake!na uandishi wa mtu..mfano hata nilivyoandika hapa unahisi kabisa am not a boy but a grown man!
 
Back
Top Bottom