Jinsi ya Kutambua Umri wa Mwana-JF

Mc TC
unataka kunishika pabaya sasa
hapo hapo ishia

nionee huruma
huu utani wa kiongo karibu na ukweli huwa siupendi kweli

ah wapi wewee!kibint cha miaka 16 kijiite Kongosho?kongosho sounds like kongoroka so umri upo wa kutosha!lol!
 
Mc TC
unataka kunishika pabaya sasa
hapo hapo ishia

nionee huruma
huu utani wa kiongo karibu na ukweli huwa siupendi kweli

ok usijali!ushauri wa bure jibadilishe jina liwe la kisista du uwabambe viserengeti!jiite sweet konnie uone!si unaona watu wakimcheki preta jina na avatar wanadhani ni kasichana kumbe ni mama yangu mdogo!teh!teh!preta akija hapa sijui itakuwaje!ngoja nikimbie!
 
Mc TC
unataka kunishika pabaya sasa
hapo hapo ishia

nionee huruma
huu utani wa kiongo karibu na ukweli huwa siupendi kweli

kongosho we una umri wa binti aliyevunja ungo mwaka jana.
 
Kwa kutazama avatar na maandishi yangu kadiria umri wangu...
 
he he he
naanza kubana sauti
hadi niwachanganye nza sauti

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…