mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
Nabisha!
haya basi 25
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nabisha!
UREFU WA TOPIC;vijana wa dot.com vitopic vyao na post zao zina mistari 2 au 5!lakini watu aged huongea kwa marefu mf topic\post za ashadii!
haya basi 25
Maneno ya ovyooo na mitusi(20-30)
Mtu ajitokeze kukadiria umri wangu degedege
Nambie umri wangu
Mimi je..
Niambie umri wangu...
Nikadirieni na mimi,ila ukweli ni kuwa member walio wengi jf wanarange 25-45. Niliwahi kumwambia kijana mmoja aachane na mambo ya fb wa age ya 21, akaniambia amesikia huo mtandao una watu wazima na ni wasomi sana na wanashushua sana ukiandika upuuzi kama fb,so akaniambaia hadi atakapokwenda chuo..
Hahahaha wewe..weweee!
Lazima nikudunde nikikukamata! Heheheheee....ila umepatia. I am 59 now.
Hebu fanya utambue umri wangu mkuu........Teh teh!
Napinga hoja, kuna watu huishi maisha ya kimtandao kutokana na yeye anavyopenda kuonekana. Akitaka watu wajue ni mtoto ataact kiutoto na hivyo hivyo kwa kiutu uzima. Kuna wengine ni vijana ila wana akili na busara zaidi ya watu wazima hivyo mabandiko yao yana hekima. Wapo watu wazima hovyo vile vile, posts zao ushuzi mtupu.
Nitajie umri wangu!
Yaweza kuwa kweli......na/au.....isiwe kweli!! Mtazamo wangu mimi ni kwamba, kupitia posts/comments aandikazo mtu.....unaweza kujua ama kugundua uelewa wake katika jambo fulani lakini kwa umri ndugu yangu, hapo tutakuwa tunaassume tu!! Nadhani mwanajamii Husninyo kanisaidia kuelezea!
You can not hide ur identity whatever u can pretend, ni sawa na Kongosho anafurahisha baraza kwa kujifanya SHEMALE, lakini hakuna tatizo lolote kwa muelewa wa Mambo kujuwa kwamba Kongosho ni mwanamke with all woman feelings.
Tena basi nikupe kifuta jasho ni kwamba kuna majukwaa humu ambayo hata uwezi kupata shida ya kujuwa umri wa watu hasa MMU.
ngoja nisikubishie ingawa nilishakutana na mwanajf, yupo tofauti na avatar yake, tofauti na posts zake na sikutaraji kama umri wake ungekuwa ni huo alionao. Kuna mwingine alikuwa anabehave mwanaume na hakuna aliyemtilia mashaka. Akabadili ID na sahivi anabehave kama mwanamke na hakuna anayemtilia mashaka. Ni ngumu kujua. Tuendelee tu kuguess guess.
siyo kweli hata kidogo
Then what?
Bas ungesema kutambua range ya umri wa m2