Jinsi ya Kutambua Umri wa Mwana-JF

Jinsi ya Kutambua Umri wa Mwana-JF

Nikadirieni na mimi,ila ukweli ni kuwa member walio wengi jf wanarange 25-45. Niliwahi kumwambia kijana mmoja aachane na mambo ya fb wa age ya 21, akaniambia amesikia huo mtandao una watu wazima na ni wasomi sana na wanashushua sana ukiandika upuuzi kama fb,so akaniambaia hadi atakapokwenda chuo..

Ukweli mtupu huo mkuu!
 
NN = 40-43
FL1=30
LIZZY=27-29
FF=43
ODM=39
DC=38
The Finest=40
King'asti=30
Dena Amsi=32
Ni mawazo yangu tu jamani wala usinishike shati.
 
Napinga hoja, kuna watu huishi maisha ya kimtandao kutokana na yeye anavyopenda kuonekana. Akitaka watu wajue ni mtoto ataact kiutoto na hivyo hivyo kwa kiutu uzima. Kuna wengine ni vijana ila wana akili na busara zaidi ya watu wazima hivyo mabandiko yao yana hekima. Wapo watu wazima hovyo vile vile, posts zao ushuzi mtupu.

Point noted. With much respect!
 
Yaweza kuwa kweli......na/au.....isiwe kweli!! Mtazamo wangu mimi ni kwamba, kupitia posts/comments aandikazo mtu.....unaweza kujua ama kugundua uelewa wake katika jambo fulani lakini kwa umri ndugu yangu, hapo tutakuwa tunaassume tu!! Nadhani mwanajamii Husninyo kanisaidia kuelezea!

Husninyo.Kweli kakusemea. Wewe pia umesema. Hata hivyo, Avatar yako na jina--hapana:26!hahaha
 
You can not hide ur identity whatever u can pretend, ni sawa na Kongosho anafurahisha baraza kwa kujifanya SHEMALE, lakini hakuna tatizo lolote kwa muelewa wa Mambo kujuwa kwamba Kongosho ni mwanamke with all woman feelings.
Tena basi nikupe kifuta jasho ni kwamba kuna majukwaa humu ambayo hata uwezi kupata shida ya kujuwa umri wa watu hasa MMU.

Matola kaka: Tuition center yako inaitwaje vile?Natamani nije na wateja wengine kwa lengo lilelile...!haha
 
ngoja nisikubishie ingawa nilishakutana na mwanajf, yupo tofauti na avatar yake, tofauti na posts zake na sikutaraji kama umri wake ungekuwa ni huo alionao. Kuna mwingine alikuwa anabehave mwanaume na hakuna aliyemtilia mashaka. Akabadili ID na sahivi anabehave kama mwanamke na hakuna anayemtilia mashaka. Ni ngumu kujua. Tuendelee tu kuguess guess.

Husninyo: Umesomeka!
 
Back
Top Bottom