Jinsi ya Kutengeneza Maandazi laini na matamu bila kutumia Hamira

Subiri nimtumie demu wake hii recipe, kuna siku alinipikia maandazi yakatoka bapa kama biscuit.
Kwa ajili ya mapenzi nikajifanya kusifia mazuri, toka siku hiyo kila weekend ananiletea tubiskuti twake kwa jina la maandazi.
 
😅😅😅
 
Mpendwa mpishi kazi ya hivi vitu kwenye maandazi ni nini?? Na kipi kinatumika wakati gani kwa kipimo gani? Au unaweza weka vyote pwaaa....

1: Chapa maandashi(zi)
2:Baking powder
3:Baking soda (bicarbonate)

Cc Kalaga Baho Nongwa
Per 1 kg hivi vitu ni gram 20 tu. Na maandazi si unatoa dough? Ukitoa dough moja ili ulikate Kate hapo cha mwisho kutia ni maji baada ya kuweka mafuta.
 
Mpendwa mpishi kazi ya hivi vitu kwenye maandazi ni nini?? Na kipi kinatumika wakati gani kwa kipimo gani? Au unaweza weka vyote pwaaa....

1: Chapa maandashi(zi)
2:Baking powder
3:Baking soda (bicarbonate)

Cc Kalaga Baho Nongwa
hivi vyote hufanya kazi moja ya kuumua Maandazi, Cake, Biskuit na vitu vingine kama hivyo.
 
Kwahiyo nachagua kimoja tu cha kuweka sio vyote
Kwenye Maandazi tumia Baking Powder ndo yanaumuka na kuachana kama hivo.

Kwenye cake unaweza kutumia vyote.

Itategemea unaandaa nini kwa wakati huo ili upate kitu bora na sahihi ni muhimu kujua kuwa kipi ukitumia kitakupa matokeo chanya.
 
Toka nilipoiona kwa mara ya Kwanza ID yako ilinitosha kujua kuwa wewe ni wife material kabisa .
Hivi umeolewa dada ,Mimi niko katika uhitaji wa moja kwa moja kuwa na mke ndani .
Umri wangu sio wa kuwa muhuni tena zaidi ya kunywa pombe kidogo kama kipoza uchovu ,njoo uwe wangu tuendeleze maisha .
Nb :niliwahi kuoa nikaachwa ,nina watoto ila walinikataa ,hivyo siwatambui kama watoto wangu hivyo Mimi ni single na pia Sina watoto
 
Kwenye Maandazi tumia Baking Powder ndo yanaumuka na kuachana kama hivo.

Kwenye cake unaweza kutumia vyote.

Itategemea unaandaa nini kwa wakati huo ili upate kitu bora na sahihi ni muhimu kujua kuwa kipi ukitumia kitakupa matokeo chanya.
Ndo hayo matumizi nahitaji kuyajua
 
Yaani una watoto halafu huna tena 😅Muone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…