Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Hakii nitafurahi sana aisee😃😄,.Au nikupikie nikuagizie kwenye basi.😜
Ila leo niko Jukwaa la mapishi kila mtu anajua kupika looh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakii nitafurahi sana aisee😃😄,.Au nikupikie nikuagizie kwenye basi.😜
YAani watu wanavyoshusha nondo hadi najiona siko serious na maisha😂Ngoja iyo siku niwe na muda Jamani 😅
Nlipika chips x-Max,.Anza kupika bwana😅 mimi ni mvivu ila Jikoni wee
Ndio unipe ingredients sasa,. Zile tambi na mayai unachanganya zinakuwa kama kiepe.Sawa Mamy itakua vizuri sana, viwe na ladha tu 😜😅
Tambi Mayai SimpleNdio unipe ingredients sasa,. Zile tambi na mayai unachanganya zinakuwa kama kiepe.
Nielekeze kwanza nini kinaanza nini kinafuata
Asante kwa Mwongozo rafiki,. Ngoja nitakuletea picha keaho nikijaribuTambi Mayai Simple
Ingredients
Tambi
Mayai
Mafuta
Caroti
Chumvi
Vitunguu/Maji na Swaumu
Hoho
Maji
Sufuria
Jinsi ya Kupika.
Chemsha Tambi hadi ziive, Chuja maji kwenye hizo tambi.
Andaa Viungo vyako vyote tofauti tofauti.
Andaa mayai yako
Weka kikaangio chako kwenye moto wa wastani, weka mafuta yakichemka vizuri weka Vitunguu kisha viungo vingine.
Vikiiva vizuri weka Tambi, zisambaze vizuri kisha weka mayai. Kaanga kama unavyotengeneza Chips.
( unaweza kuweka viungo vingine kama utapenda vinavyoleta ladha)
Nimekupa maelezo simple kisha enjoy.
Sawa kipenzMAmie naomba nitag kwenye ule uzi wako wa Makange ya Samaki,.