Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym

Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym

Nakusikiliza mkuu
Katika uwanja wa mpira kukimbia kwako idadi ya raundi itategemea na unachokitaka, mfano unataka pumzi au kuupunguza mwili.

Kama ni beginner, anza na raundi sita.

Raundi nne za kwanza troti (usikimbie) mbili za mwisho ongeza spidi lakini isiwe kubwa ya kukukata pumzi.
Routine hii nenda nayo kwa siku mbili.

Ongeza raundi mbili kila baada ya siku mbili za kupiga raundi husika. Ongeza na spidi yako pia kadri unavyoongeza hizi raundi.
 
Mkuu hongera sana kwanza kwa hili darasa huru huu Uzi utaniongezea maujuzi leo ndo nimeanza hili zoezi na Bahat nzuri nauona huu Uzi mda muafaka sasa kma beginner unashauri nipige ngapi ktk kila stage angalau niende sawa
 
Namaanisha zoezi LA push ups
Kama utafata routine kama niliyoionesha hapa usipige chini ya nane lakini usivuke kumi.
Routine hii ifanye kwa siku nne.

Baada ya hapo utakua ushajua nguvu zako zipo kwenye kubaki na nane au kuzifuata kumi. Piga hizo idadi ambazo utakua comfortable nazo kwa siku nne tena.

Kisha ongeza idadi ya push ups mbili kila utakapokua unamaliza routine ya siku nne.

Kumbuka kunywa maji mengi, kula na kupumzika.

Usisahau kutupa mrejesho ututie moyo na wengine.
 
Mm kabla ya huu uzi,nafanya sana push up. Lakin tatizo langu ni moja tu...

Nikifanya mazoez haya nachoka sana. Yaan kuchoka kwangu ni usiku. Mfano napiga zoez asbh kisha naingia job. Jion naweza piga tena chache. Lkn usik nalala kama mbwa! Nalala fofofo hata siwez sikia simu ikiita hata nikiongeleshwa sisikii(maana nakuwa kama mfu). Yaan siku nikifanya mazoez,bas shemeji yenu siku hiyo atapata 1 na ntalala mpaka asbh.

Je waungwana nifanyeje ili nisiwe nachoka hivi?
 
Nimeona umesema unafanya sana push up, lakini nashauri zifanye kwa mpangilio. Kuanzia aina utakayoanza nayo, seti na idadi kwa kila seti.

Pia kunywa sana maji. Na muda wa kupumzika pumzika kweli. Mfano zile saa saba za kulala zitumie ipasavyo.
 
Asante. Ngoja nifanye kwa mpangilio,na niendelee na lita tatu zangu za maji kila siku
 
ebana mm ni mwembamba ila napenda kupga tizi mwil ujae jae ila huu wembamba naona km unanifelisha,,km kuna aina za misos em nipe clue,,pushap napga daily km 40
 
Mpangilio uwe kama ukiwa unafanya mazoezi mengine (yaani intake ya calories na protein iwe juu) hii ni kwa siye vimbau mbau au wenye miili ya kawaida. Mnene mlo wake inabidi aukate katika intake ya calories ili aukate mwili.

Mfano asubuhi uji wa ulezi unaweza ukaweka peanut butter, blue band au maziwa. Muda wa kifungua kinywa chapati tatu maziwa, ndizi na samaki/ dagaa/ kuku/ mboga ya majani.

Mchana ugali/ wali, samaki/ dagaa, maharage na mboga ya majani. Tunda.

Usiku wali na mboga za majani.

Hiyo ni vile typical ninavyokula mimi (na nikiwa sijafulia). Pia Siyo lazima vyote viwepo.
Hakikisha unakunywa maji mengi kwa kipindi chote hiki.
Hivyo ni jinsi ninavyokula nikiwa mcharo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
ebana mm ni mwembamba ila napenda kupga tizi mwil ujae jae ila huu wembamba naona km unanifelisha,,km kuna aina za misos em nipe clue,,pushap napga daily km 40
 
ebana mm ni mwembamba ila napenda kupga tizi mwil ujae jae ila huu wembamba naona km unanifelisha,,km kuna aina za misos em nipe clue,,pushap napga daily km 40
Baadhi ya watu hua wanatumia supplements mfano mass gainer (mimi situmii) ili kuujaza mwili haraka haraka.

Kama utakua interested nazo, ingia google angalia ipi haina side effects kisha nenda kwenye gym iliyo karibu nawe na kuwaomba mwongozo wapi ukanunue zinaanzia elfu sitini mpaka laki tatu.

Au unaweza ukaenda kwenye pharmacy za wahindi posta na kariakoo.
 
Back
Top Bottom