Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu samahani,mie huwa nakula mara mbili kwa siku kutokana na huwa siiamini misosi ya mama ntilie waliopo sehemu napotafutia ridhki,asubuhi nakunywa chai na chapati na matunda mchana nakunywa maji 1.5lt daily usiku pia nakula chochote kitakachopatikana home.nitaweza gain chochote nikianza hii mbilinge?Mpangilio uwe kama ukiwa unafanya mazoezi mengine (yaani intake ya calories na protein iwe juu) hii ni kwa siye vimbau mbau au wenye miili ya kawaida. Mnene mlo wake inabidi aukate katika intake ya calories ili aukate mwili.
Mfano asubuhi uji wa ulezi unaweza ukaweka peanut butter, blue band au maziwa. Muda wa kifungua kinywa chapati tatu maziwa, ndizi na samaki/ dagaa/ kuku/ mboga ya majani.
Mchana ugali/ wali, samaki/ dagaa, maharage na mboga ya majani. Tunda.
Usiku wali na mboga za majani.
Hiyo ni vile typical ninavyokula mimi (na nikiwa sijafulia). Pia Siyo lazima vyote viwepo.
Hakikisha unakunywa maji mengi kwa kipindi chote hiki.
Ndiyo, ila naona utafikia peak mapema sana na kuhitaji kuiruka. Hua tunairuka peak kwa kuongeza either msosi au Intensity ya zoezi.Mkuu samahani,mie huwa nakula mara mbili kwa siku kutokana na huwa siiamini misosi ya mama ntilie waliopo sehemu napotafutia ridhki,asubuhi nakunywa chai na chapati na matunda mchana nakunywa maji 1.5lt daily usiku pia nakula chochote kitakachopatikana home.nitaweza gain chochote nikianza hii mbilinge?
Mkuu usikariri mazoezi sio kwa ajili ya ugomvi ni zaidi ya hapo,kuuweka mwili strong,kupunguza mafuta mwilini kuupunguzia mwili hatari za maradhi nk...kipindi naingia ingia gym kunyanyua vitu vizito kuna jamaa alitaka kuniletea zile za tandale kwamba huyu jamaa body ngoja nimkalishe avune points mbele ya washkaji zake,mie sikupata tabu nikamwacha arushe ngumi zake mbili tatu nikaangalia kulia kushoto kitofali kile pale nikaokota nikamgonga cha utosi chali aliponyanyuka analia kwanini sikuzipanga.mtu na mazoezi yake usifikiri anataka kupigana angetaka hivyo wapo kina Cheka angeenda kuchangamsha nao damu mazoezi ni kwa ajili ya afya yake!nyie hangaiken ila mkijichanganya napiga
jichanganye sassMkuu usikariri mazoezi sio kwa ajili ya ugomvi ni zaidi ya hapo,kuuweka mwili strong,kupunguza mafuta mwilini kuupunguzia mwili hatari za maradhi nk...kipindi naingia ingia gym kunyanyua vitu vizito kuna jamaa alitaka kuniletea zile za tandale kwamba huyu jamaa body ngoja nimkalishe avune points mbele ya washkaji zake,mie sikupata tabu nikamwacha arushe ngumi zake mbili tatu nikaangalia kulia kushoto kitofali kile pale nikaokota nikamgonga cha utosi chali aliponyanyuka analia kwanini sikuzipanga.mtu na mazoezi yake usifikiri anataka kupigana angetaka hivyo wapo kina Cheka angeenda kuchangamsha nao damu mazoezi ni kwa ajili ya afya yake!
Shukrani kaka,nitazingatia ushauri wako.Ndiyo, ila naona utafikia peak mapema sana na kuhitaji kuiruka. Hua tunairuka peak kwa kuongeza either msosi au Intensity ya zoezi.
Hata hivyo maji lita 1.5 ni sawa na kunywa maji ya Pangan au Masafi makubwa ni kidogo sana mkuu jitahidi kuongeza.
unaweka mwili sawa kwan ulipinda mm anaejichanganya nanyoaMkuu usikariri mazoezi sio kwa ajili ya ugomvi ni zaidi ya hapo,kuuweka mwili strong,kupunguza mafuta mwilini kuupunguzia mwili hatari za maradhi nk...kipindi naingia ingia gym kunyanyua vitu vizito kuna jamaa alitaka kuniletea zile za tandale kwamba huyu jamaa body ngoja nimkalishe avune points mbele ya washkaji zake,mie sikupata tabu nikamwacha arushe ngumi zake mbili tatu nikaangalia kulia kushoto kitofali kile pale nikaokota nikamgonga cha utosi chali aliponyanyuka analia kwanini sikuzipanga.mtu na mazoezi yake usifikiri anataka kupigana angetaka hivyo wapo kina Cheka angeenda kuchangamsha nao damu mazoezi ni kwa ajili ya afya yake!
Poa mkuu,ila usifanyie mazoezi kwamba ukawapige watu utaishia jela kila mtu sasa mgonjwa pia unapotosha maana nzima ya mazoezi.jichanganye sass
bang kula sana kulima kwa wing kumwaga zege yaan atakae jchanganya nauaFanya kitu kimoja, badala ya kututisha tunaomba routine yako ya mazoezi na sisi tuitumie.
Ok poaPia Teua siku moja au mbili za wiki upumzike, usiguse chochote kinachohusiana na mazoezi hizo/ hiyo siku.