Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym

Ushauri mwingine kabla hujaanza push up ,fanya zoez la kukimbia ili kuweka mwili utayari wa kupokea mazoez mbalimbali ,zikiwemo hizo push up
 
Mkuu samahani,mie huwa nakula mara mbili kwa siku kutokana na huwa siiamini misosi ya mama ntilie waliopo sehemu napotafutia ridhki,asubuhi nakunywa chai na chapati na matunda mchana nakunywa maji 1.5lt daily usiku pia nakula chochote kitakachopatikana home.nitaweza gain chochote nikianza hii mbilinge?
 
Ndiyo, ila naona utafikia peak mapema sana na kuhitaji kuiruka. Hua tunairuka peak kwa kuongeza either msosi au Intensity ya zoezi.
Hata hivyo maji lita 1.5 ni sawa na kunywa maji ya Pangan au Masafi makubwa ni kidogo sana mkuu jitahidi kuongeza.
 
Hadi nahisi kukata tamaa nataman nitumie hizo dawa
Hapana usikate tamaa, way out zipo zimekuzunguka mkuu, dawa zitakupa mwili mkubwa ndani ya muda mfupi mno tukilinganisha na chakula lakini vitu vitakuja tu.
 
nyie hangaiken ila mkijichanganya napiga
Mkuu usikariri mazoezi sio kwa ajili ya ugomvi ni zaidi ya hapo,kuuweka mwili strong,kupunguza mafuta mwilini kuupunguzia mwili hatari za maradhi nk...kipindi naingia ingia gym kunyanyua vitu vizito kuna jamaa alitaka kuniletea zile za tandale kwamba huyu jamaa body ngoja nimkalishe avune points mbele ya washkaji zake,mie sikupata tabu nikamwacha arushe ngumi zake mbili tatu nikaangalia kulia kushoto kitofali kile pale nikaokota nikamgonga cha utosi chali aliponyanyuka analia kwanini sikuzipanga.mtu na mazoezi yake usifikiri anataka kupigana angetaka hivyo wapo kina Cheka angeenda kuchangamsha nao damu mazoezi ni kwa ajili ya afya yake!
 
jichanganye sass
 
Ndiyo, ila naona utafikia peak mapema sana na kuhitaji kuiruka. Hua tunairuka peak kwa kuongeza either msosi au Intensity ya zoezi.
Hata hivyo maji lita 1.5 ni sawa na kunywa maji ya Pangan au Masafi makubwa ni kidogo sana mkuu jitahidi kuongeza.
Shukrani kaka,nitazingatia ushauri wako.
 
unaweka mwili sawa kwan ulipinda mm anaejichanganya nanyoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…