yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Mkuu utakuta mtu anahema na ulimi nje kama nanii.... [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ushaanza matani au siyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu utakuta mtu anahema na ulimi nje kama nanii.... [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ushaanza matani au siyo?
Pumzika kwa siku kadhaa kupumzisha misuli then endelea usiache mkuuJuzi nilipiga push up 40,mikono inauma mpaka leo hata kuvua shati siwezi.
Baada ya muda utakua sawa. Nakumbuka kuna siku ilibidi niingie jengo fulani linaitwa Diamond Plaza karibu na chuo cha IFM ili nikojoe, ila kwa sasa ni kawaida kwangu.Mkuu hapo kwenye maji nikinywa lita 2 tu basi nitaenda kukojoa hata mara kumi hapo basi nashindwa kabisa
Safi sana kiongozi inaelekea upo physical sana nzuri sana 15year si mchezoNimeupenda huu uzi sana kwa elimu murua. Mimi ni mwaka wangu wa kumi na tano kwenye mazoezi na yamenisaidia sana. Ratiba yangu ya kila siku asubuhi mara 4 kwa wiki ni round 10 mpaka 12 za uwanjani, dakika 15 za mazoezi ya viungo na 15 ya push ups.
Nilianza nikiwa na miaka 33 sasa nina miaka 48 bado niko vizuri sana kwa zoezi. Nakwenda sambamba na vijana wa miaka 25 hivi. Napenda kuwahimiza kuanza zoezi kwani haijalishi una umri gani cha msingi kupata muongozo na kucheki afya kabla ya kuanza. Maji ya kutosha na mapumziko ni muhimu sana. Wasalam
Shukrani mkuu ..kumbe ndio inavyokuwa hivyo.Baada ya muda utakua sawa. Nakumbuka kuna siku ilibidi niingie jengo fulani linaitwa Diamond Plaza karibu na chuo cha IFM ili nikojoe, ila kwa sasa ni kawaida kwangu.
Kudos mkuu.Nimeupenda huu uzi sana kwa elimu murua. Mimi ni mwaka wangu wa kumi na tano kwenye mazoezi na yamenisaidia sana. Ratiba yangu ya kila siku asubuhi mara 4 kwa wiki ni round 10 mpaka 12 za uwanjani, dakika 15 za mazoezi ya viungo na 15 ya push ups.
Nilianza nikiwa na miaka 33 sasa nina miaka 48 bado niko vizuri sana kwa zoezi. Nakwenda sambamba na vijana wa miaka 25 hivi. Napenda kuwahimiza kuanza zoezi kwani haijalishi una umri gani cha msingi kupata muongozo na kucheki afya kabla ya kuanza. Maji ya kutosha na mapumziko ni muhimu sana. Wasalam
Mazoezi unayofanyia unaingia gym au unafanyia nyumbani?Mkuu mimi nataka niwe na mwili wa Kawaida lakini uliojikata, mimi mwili wangu ni mkubwa kimtindo na tizi huwa napiga sasa sitaki kuvimba mpaka naonekana baunsa, yaani uwe saizi km ya mond vile
Nafanya nyumbani tu, squat pamoja na push ups pekeeMazoezi unayofanyia unaingia gym au unafanyia nyumbani?