Jinsi ya kutengeneza website(tovuti) bure ya kiofisi (acha kulipia leo)

chief mkwawa mimi nimetumia x5 ila kuna mahali wananiambia ni upload site yangu moja kwa moja kwenye site
sehemu nyingine wabaniambia ni upload kwenye usb,au hdd ilapale inanigomea naomba msaada
 
Kila themes zipo za bure na kulipia na kuhusu matangazo ni mtengeneza themes mwenyewe ndie anayeweka features fulani inabidi uangalie kama inayo kabla hujadownload ama kununua.
 
chief mkwawa mimi nimetumia x5 ila kuna mahali wananiambia ni upload site yangu moja kwa moja kwenye site
sehemu nyingine wabaniambia ni upload kwenye usb,au hdd ilapale inanigomea naomba msaada
Mkuu uzi wa zamani sana tumia blogspot/wordpress ni nzuri zaidi.
 
Mkuu nikiingia servers free nashindwa kuona sehemu ya kufungulia account, sijajua nakosea wapi. Samahani kwa usumbufu
 
nashukuru mkuu kwa kunijibu kwa wakati, blog nishafungua kimbembe ni kwenye domain and hosting. kama ishu ya free domain and hosting kwasasa ni tatizo, je naweza enda site gan nikaripia kwa bei nafuu pia yenye ufanisi mkubwa ?
Godaddy na namecheap wanakuwa na offer za hapa na pale kwa domain unapata as cheap as dola $1 kwa mwaka wa kwanza.

Na hosting za bei rahisi $1 kwa miezi 12 ambayo ni kama $12. Hawa unawapata nosupportlinuxhosting.

Hivyo jumla unapata around 35,000 domain na hosting.

Na kama unataka kurisk zaidi ebay kuna hosting za mtaani hadi chini ya dola 5 kwa mwaka, sema sikushauri kama hujui unalofanya.
 
Thanks a lot mkuu, thanks for your support
 
hii thread ni ya zamani sana, sijui nani kaiibua, sasa hivi tumia wordpress au blogger utapata site nzuri zaidi, maana zimekuwa ni zaidi ya blog hizo platform.
Mkuu habari, samahani kwa kukuita huku, ni hivi....

Nina blogspot yangu iko live since 2010... Nikiwa begginer wa ICT

Nilikuwa nauliza je ninaweza kununua domain mf, domain ya .Co.tz ama .Com na kuifeed kwenye blogspot yangu na ibadilike kwenye searchable search engine badala ya kuwa (mfano ) jitubandia.blogspot.com ibadilike iwe searchable as jitubandia.com!?, ama jitubandia.co.tz!!

Hilo linawezekana!?
 

Attachments

  • StitchIt_20232711100738_826.png
    23.5 KB · Views: 5
Ndio inawezekana.
 
Tunashukuru sana member, haya ndiyo tunayataka siyo mambo ya kula tunda and the like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…