The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
inaniambia failed to loading content data
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tumia cms ni rahisi zaidi, pitia hapa kuanzaMkuu chief mkwawa nimefuata maelezo yako yote kwa usashi kabisa ila kuna mahali nimefiaka palae ninapotak kuview site yangu kwenye website kwa kutumia google chrome ina fail inaniambia fail ila flashpalyer nime enable mkuu naomba msaada asante.
Hizi EDUCATION BLOGGER TEMPLATES ni free?Mkuu tumia cms ni rahisi zaidi, pitia hapa kuanza
https://www.jamiiforums.com/threads...geneza-website-kwa-kutumia-blogger-com.893162
Kila themes zipo za bure na kulipia na kuhusu matangazo ni mtengeneza themes mwenyewe ndie anayeweka features fulani inabidi uangalie kama inayo kabla hujadownload ama kununua.Hizi EDUCATION BLOGGER TEMPLATES ni free?
Kwenye blogspot ninaweza kutumia propeller Pop up ads, direct, na Interretrial kwa pamoja?
Vipi kuhusu REVENUE HITS ni wazuri kuliko Propeller? Adsense masharti yake magumu sana naweza kula ban muda wwte.
Thanks in advance
Mkuu uzi wa zamani sana tumia blogspot/wordpress ni nzuri zaidi.chief mkwawa mimi nimetumia x5 ila kuna mahali wananiambia ni upload site yangu moja kwa moja kwenye site
sehemu nyingine wabaniambia ni upload kwenye usb,au hdd ilapale inanigomea naomba msaada
Ni mda sana mkuu, mambo mengi yamebadilika. Kama unaanza tumia blogspotMkuu nikiingia servers free nashindwa kuona sehemu ya kufungulia account, sijajua nakosea wapi. Samahani kwa usumbufu
nashukuru mkuu kwa kunijibu kwa wakati, blog nishafungua kimbembe ni kwenye domain and hosting. kama ishu ya free domain and hosting kwasasa ni tatizo, je naweza enda site gan nikaripia kwa bei nafuu pia yenye ufanisi mkubwa ?Ni mda sana mkuu, mambo mengi yamebadilika. Kama unaanza tumia blogspot
Kwa wanaoanza, jinsi ya kutengeneza website kwa kutumia blogger.com - JamiiForums
Godaddy na namecheap wanakuwa na offer za hapa na pale kwa domain unapata as cheap as dola $1 kwa mwaka wa kwanza.nashukuru mkuu kwa kunijibu kwa wakati, blog nishafungua kimbembe ni kwenye domain and hosting. kama ishu ya free domain and hosting kwasasa ni tatizo, je naweza enda site gan nikaripia kwa bei nafuu pia yenye ufanisi mkubwa ?
Thanks a lot mkuu, thanks for your supportGodaddy na namecheap wanakuwa na offer za hapa na pale kwa domain unapata as cheap as dola $1 kwa mwaka wa kwanza.
Na hosting za bei rahisi $1 kwa miezi 12 ambayo ni kama $12. Hawa unawapata nosupportlinuxhosting.
Hivyo jumla unapata around 35,000 domain na hosting.
Na kama unataka kurisk zaidi ebay kuna hosting za mtaani hadi chini ya dola 5 kwa mwaka, sema sikushauri kama hujui unalofanya.
Mkuu habari, samahani kwa kukuita huku, ni hivi....hii thread ni ya zamani sana, sijui nani kaiibua, sasa hivi tumia wordpress au blogger utapata site nzuri zaidi, maana zimekuwa ni zaidi ya blog hizo platform.
Ndio inawezekana.Mkuu habari, samahani kwa kukuita huku, ni hivi....
Nina blogspot yangu iko live since 2012...
Nilikuwa nauliza je ninaweza kununua domain mf, domain ya .Co.tz ama .Com na kuifeed kwenye blogspot yangu na ibadilike kwenye searchable search engine badala ya kuwa (mfano ) jitubandia.blogspot.com ibadilike iwe searchable as jitubandia.com!?, ama jitubandia.co.tz!!
Hilo linawezekana!?
Tunashukuru sana member, haya ndiyo tunayataka siyo mambo ya kula tunda and the likeHabari WanaJF,
Nimeandaa hii tutorial kuwasaidia watu wenye ofisi ndogo ndogo na watu binafsi ambao wanataka kuwa na website kwa ajili ya biashara zao au matumizi binafsi lakini kutokana na ukosefu wa hela au uelewa kuhusu lugha za kucode website wameshindwa kumiliki.
Fuata hizi process kwa umakini na utaweza kufungua website.
IDEA (wazo)
Ili uwe na website lazima kwanza uwe na wazo lako kama ni mfanyabiashara ina maana wazo lako ni hiyo biashara na website yako nayo itahusu hiyo biashara. Kama ni mtu binafsi nakushauri wazo lako liwe unique na usiige ige watu utaishia pabaya.
KUTENGENEZA WEBSITE
Hapa kuna aina mbili za utengenezaji rahisi utaangalia aina itakayokupendeza nazo ni kutengeneza online au offline
-offline website building
Kwa sababu hujui language ya kukodi website utahitaji msaada wa software. hizi software zipo nyingi ila ntataja maarufu zaidi ambazo nimeshazitumia ili iwe rahisi zaidi kwangu kukuelekeza sehemu utakayokwama. Na nimezigawanya sehemu mbili za website za kawaida na flash website.
(a) software ya website za kawaida WEBSITE X5 EVOLUTION
![]()
Hii kwa muono wangu ni software rahisi zaidi kwani unachagua design na kuadd picha na maneno tu website yako inakua tayari inaeleweka kiasi kwamba hata beginer ataweza kuitumia. Ukimaliza kutengeneza website utasave hio website kama file. Kama utapata tatizo utanijulisha
Link yao ni hii hapa
Free Demo Software ? Download WebSite X5 ? make a website - WebSite X5
(b)software ya flash website A4 DESK PRO
![]()
Flash website ni za kisasa kidogo kuliko za kawaida na pia ili kuvisit flash website inabidi flash player iwe installed katika device. Simu ambazo sio smart phone hazisupport flash website. Hii mara nyingi sio nzuri kua official website ya business ila ni nzuri kwa mambo ya entertainment.
Utadownload hii software na kuchagua template na ku add text na picha hamna programing language. Nayo ukimaliza kutengeneza website utasave file lake.
Kudownload hii software click link ifuatayo
Download Website Building Software
Zipo software nyengine kwa faida yako mwenyewe utaenda kuzitest
-dreamwaver
-frontpage
-netfussion
-web studio
-n.k
HOSTING WEBSITE
Sasa tumemaliza kutengeneza website now itabidi tuihost online ili ionekane. Katika step hii ndio utahitajika ku upload lile file la website ulilopata baada ya kumaliza kutengeneza.
Hapa ntataja hosting chache ambazo ni za bureee.
servers free best hosting
Why nasema hawa jamaa ni best? Watakupa space ya 10 gb kueka mafile yako na bandwitch ya gb 100, huwa hawaban ovyo account na wapo fast.
Cha kwanza fungua acount chagua subdomain halafu nenda cpanel yako utaona link imeandikwa import website click hapo then upload ile website yako utakua umemaliza kazi.
Link yake
Servers free free web hosting servers, servers for free, free server
other hosting
Kutokana process za host nyingi zinafanana ntazimention tu free hosting
Free Web Hosting with cPanel, PHP, and no Ads
Free Web Hosting - Linux, PHP, MySQL, No Ads/Banners by FreeHostia.
Free Web Hosting with PHP, MySQL and cPanel, No Ads
Free Hosting, Paid Hosting, Reseller Services & VPS Servers : Byet Internet
Webs - Make a free website, get free hosting
DOMAIN
Ok tushatengeneza website lakini ina subdomain tu haina domain kamili inabidi tutafute jina zuri kwa ajili ya website yetu so hapa lazima tutengeneze domain
Kabla sjataja website ya domain inabidi kwanza ujue tutorial namna ya kupark domain
Cha kwanza utaenda kwenye host yako sehemu ya domain then uchukue dns zao. Mfano nahost website seversfree.com basi dns itakua namna hii
ns1.serversfree.com
ns2.serversfree.com
Ukishazipata unaenda website ya kutengeneza domain then unregister unachagua jina unalopenda halafu unachagua domain by dns then utaeka dns zako
Baada ya hapo unarudi kwa host wako kupark hio domain
Nb: inaweza chukua hadi masaa 24 kwa domain kua tayari so kua mvumilivu
website za kutengenezea domain
dot.tk best domain
Hii ndo top level domain pekee inayokubalika google ambayo ni free kuregister just nenda link hii
Dot TK - Free Domains for All
Website nyengine za domain ni
uni.cc
co.nr
afraid.org
net.tc
net.tf
co.cc
co.tv
Kama utapata tatizo lolote usisite kupost hapa