Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

We mzee kumbe ni mchawi pia 😂
 
iyo ganzi inatisha nakwawa kama nashindwa kupumua
 
iyo hali ikikukuta ukiwa nche ya mwili mazingira yanayo kuzunguka yana kuwaje?
jaribu kuangalia juu ujereshe umeona nn
 
Duuh Hakika leo nimesoma makala ya kichawi kabisa, watu kumbe hatari sana hii dunia [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Duuh Hakika leo nimesoma makala ya kichawi kabisa, watu kumbe hatari sana hii dunia [emoji848][emoji848][emoji848]
Pole sana mkuu. Hapana hii sio makala ya kichawi ni makala ya maarifa ya kiroho. Hapa ni kutoka mwenyewe kutoka kichawi ni kutolewa na shetani.

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…