Nimetembelea huko, kumbe ni kutumia nguvu za majini!. Kuna watu wanadhani haya ni mambo ya Mungu, hivyo ni vema from time to time wakawa wanaambiwa ukweli kuwa haya ni mambo ya majini ili wanaondhani ni mambo ya Mungu waujue ukweli.
Kuna vitu hata sisi Wakristo hatuambiwi ukweli, mfano hatuambiwi ukweli kumhusu shetani, majini na mapepo, watu wakiaminishwa vimeumbwa na Mungu!, kiuchumi shetani, majini na mapepo sio viumbe vya Mungu, havikuumbwa na Mungu, havitumii nguvu za Mungu, vinatumia nguvu za giza!, the powers of darkness!, japo vinaleta mafanikio makubwa duniani, ni mafanikio ya nguvu za giza, mafanikio ya kishetani, na mwisho wa uhai wako duniani, unaishia kwenye jehanam ya moto wa milele!. It's very good wanaofuata haya makitu wakiyajua haya!.
Naendelea kusisitiza ule wito wangu mwanzoni tuu mwa bandiko hili kwenye post No. 4
Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)
P
Habari mkuu,
Kama kuna moja ya watu huwa nawaona kwa kiasi fulani wana uelewa mpana humu jamii forum. Wewe pia ulikuwa mmoja wapo lakini kwa hii Quote nilipoweka mstari Mwekundu unaanza kunitia shaka mkuu.
Wewe sio mtu ambaye unaweza kuQuote kitu easily until upate uelewa wake zaidi sasa hapa ni kama vile umekurupuka mkuu and I'm sorry to tell you this.
Unasema kuna watu wanadhani haya ni mambo ya Mungu kwa maana ipi?
Ikiwa unazungumzia elimu ya Astral Projection pekee basi uelewa wako kuhusu Mungu unatakiwa ujiongezee kwa maana nilidhani uliongeza uelewa kuhusu Mungu tangu kwenye ligi ya ile thread yako ya Psychic powers. Lakini kwa jibu hili naona bado you are still young in a knowledge of God's Powers....
Kwa hakika vilivyomo mbinguni na ardhini vyote ni vya mwenyezi Mungu na yeye ndio kuna vitu katuwekea mipaka kutokuvivuka as a test...
Nikujibu kwa uelewa wako wa kubadilika na kufahamu kwamba Mwenyezi Mungu yupo juu ya vyote?
au
Nikujibu kwa uelewa wako wa kuamini kuwa Mungu na Shetani wanauwezo sawa?
Ukinijibu hapo tutaendelea.....!
Turudi kwenye hoja ya wewe kuwa
Kuna watu wanadhani haya ni mambo ya Mungu
bila shaka hawadhani ila wanajua ya kuwa haya mambo ni ya Mungu ila kwenye channel uliyoingia umekurupuka.
Ndio maana nikakwambia kuna watu ambao wako serious na haya wapo kule kwa maana ile ni Youtube channel kama vile unavyofuatilia Channel ya Tv na wala sio Channel ya msanii anaepost nyimbo peke yake...
Which means ukiingia kwenye hiyo channel ina playlist ambazo ni kama vipindi. Kila mtu anafuatilia anachotaka na I have knowledge of all those videos I post.
- Kuna watu wanataka kujifunza meditation pekee kuna playlist yake.
- kuna watu wanataka kujifunza kuita majini na kuna playlist yake,
- kuna watu wanataka kujifunza kuhusu psychic powers kuna playlist yake pia
- na kadhalika.....
Sasa kama umeingia kwenye channel kwa kukurupuka bila shaka jibu lako ni hili....
Huwezi kuquote ITV kuwa ni channel ya kihuni au wahuni kisa tu wana kipindi cha usiku wa mahaba au wanaweka nyimbo za Wahuni weekend Unaweza kuwa hujitambui kwa kuangalia kipindi kimoja cha channel yao na kuhukumu moja kwa moja...
Baada ya hapo kila ulichoandika kwenye yellow ink hapo in italic writing yote ni dhana na imani yako binafsi which haiwahusu robo 3 ya ulimwengu.
Ikiwa wewe ni mkristo na unaamini kuwa Shetani ana nguvu sawa na Mungu wapo hata wenzio ambao ni wakristo wataona wewe hujui unachoongea...
Lakini wale ambao watakuja mbele yako ukiwaita kanisani na ukawaambia njooni mtubu kwangu na wasiwe na shaka na mambo yako wakakuachia mwenyewe.
Basi hao ni watu hata ukiwaambia leo tusali uchi watakukubalia kisa tu Pascal kasema.....
Which in reality you are trying to deceive them and yourself....
Imani yako tu kwanza kuhusu Mungu ina mashaka makubwa sana kwa maana mwisho unaweza kujikuta unamtii shetani bila kujijua. Soma mkuu soma!!!
Rakims