Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mkuu Rakims na MziziMkavu, naombeni sana wakati mnatoa hili somo, pia muwape angalizo hao wanafunzi wenu, kuwa mchezo huu pia ni sawa na kuijaribu sumu kwa kuilamba!. Wapeni kabisa masharti ya kuzingatia, wakikosea ndio safari jumla!, asubuhi unakutwa ulitangulia ukiwa usingizini!.

Masharti ni haya.
  1. Fanya hivyo ukiwa umelala peke yako chumbani, na kabla hujaanza ujinga huo, hakikisha umefunga mlango kwa funguo, kwa sababu akitokea mtu akakuamsha kwa kukutingisha kwa nguvu na kuchange ile position yako hata ya milimita moja, ile cord ni kama utando wa buibui, inakatika, wewe unakuwa ndio basi tena!.
  2. Unaweza kukutana na "the under world" ukaona maisha hayo ya astra plane ndio bora zaidi kuliko real world, hivyo cord ikakatika, huku unakutwa ndio basi tena!, wewe ni safari jumla!.
  3. Hizi ni highest stages za meditation ambazo haziruhusiwi kufanywa na beginners, na hazifanywi un supervised bila supervisor na supervision, vinginevyo ni safari jumla!.
  4. Yote utakayoyashuhudia kwenye astra body, unaweza kuyafanya by simply opening up the "third eye!"
  5. Hizi ndizo the first stages za wachawi!.
Wito wangu mimi wa wafuatiliaji wa haya makitu, kama hujui unataka nini, au utoke out of body ili kuachieve nini, please don't try this or do it!. Mtu asikudanganye kuwa its very fun to go out of body, is not fun!. Too much knowledge on anything is harmful, please don't try unless you are sure of what you are trying to do and what to achieve and not doing it for fun!.

Paskali
We mzee kumbe ni mchawi pia 😂
 
Ingawa leo sio mala ya kwanza nilisha wahi kutoa nafsi siku za nyuma na nikaishia kujiangalia tu nilivyo lala

Leo mapambazuko ya asubuhi nikiwa nimejilaza usingizi ulikata ila baada kama ya dk 10 hivi nikahisi ganzi hivi sikutaka kujistua ili itoke sasa hapo ndo nikataka kufanya astral projection nimejaribu kuamka nimefanikiwa kwa 50% hivi yaani niliachanisha kiwiliwili ikabaki miguu tu, kuanzia kiunoni nikawa bado means nikawa nimekaa nikata kugeuka kuangalia mwili niliona mwili bado umetulia mala ghafla ile ganzi ikawa kama imekata hivi nikajikuta nimeisha jiunga na mwili. sasa swali langu Je vipi kama ikitokea ile ganzi imekata nikiwa nipo mbali na mwili? na swali la pili kipindi na amka sikuiona silver cord je inaanza kuoneka baada ya kuwa soul completely removed au hata ukiwa una amka kitandani?
iyo ganzi inatisha nakwawa kama nashindwa kupumua
 
Kaka naomba mwongozo wako kidogo hapa. Mimi nina OOBE na inanitokea mara nyingi sana. Naweza kuwa nimekaa sehemu nimetulia all of a sudden najiona nimetoka katika mwili wangu halisi na nimesamama pembeni nauangalia mwili wangu. Ni kama reflection ya kwenye kioo. Ni tukio ambalo halichukui muda mrefu na linaootokea nakuwa sina control nalo.Hii imekaaje?
iyo hali ikikukuta ukiwa nche ya mwili mazingira yanayo kuzunguka yana kuwaje?
jaribu kuangalia juu ujereshe umeona nn
 
Duuh Hakika leo nimesoma makala ya kichawi kabisa, watu kumbe hatari sana hii dunia [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Duuh Hakika leo nimesoma makala ya kichawi kabisa, watu kumbe hatari sana hii dunia [emoji848][emoji848][emoji848]
Pole sana mkuu. Hapana hii sio makala ya kichawi ni makala ya maarifa ya kiroho. Hapa ni kutoka mwenyewe kutoka kichawi ni kutolewa na shetani.

Rakims
 
Back
Top Bottom