Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Ok Nafasi Zimejaa Tunaanza Somo Anaeingia Sasa Hivi Analipia 15000... darasa linaanza jumatatu saa 09:00 usiku hadi saa 11:00 usiku
 
Ok Nafasi Zimejaa Tunaanza Somo Anaeingia Sasa Hivi Analipia 15000... darasa linaanza jumatatu saa 09:00 usiku hadi saa 11:00 usiku

Mbona mimi niliku pm namba yangu kabla ya muda huu na hujaniunganisha?!!
 

mara ya kwanza story ilivoanza....mpaka ilivobadilika na kuwa biashara, siamini!. Mi namshauri angetoa elimu hapa bure mpaka wafuasi wafikie levo ambayo watajenga imani na mwalimu halafu ndo aanzishe darasa la kulipia. Au atende muujiza wowote ambao utatufanya tumwamini, na leo ndo j.3 mliopo darasani mbona hamjaja kutujulisha kama kweli darasa limeanza!? mmefundishwa nn? ticha kaeleweka? fungukeni'!
 

That's Non Of Your Concern!! Kasome Gazeti Za Udaku Utapata Uongo Mwingi Unaoutaka Halafu Kwa Nini Usiwaulize Nani Kalipia Hadi Sasa Waliopo Kwenye Darasa.. Pia Umeshasema Ni Story Ya Nini Unaifuatilia? Acha Walioipenda Wanunue Nakala. Be Like A Man Son And Grow Up...

"Rakims"
 

mliokuwa darasani mbona kimya tu! Somo lilieleweka?
 
mliokuwa darasani mbona kimya tu! Somo lilieleweka?

halikueleweka ticha mwenyewe hakuwepo halafu asubuhi anaremove watu mara anawarudisha propaganda nyingi mara wengine watukanane harafu eti asubuhi anatwambia tumchangie mia mia za chai tupo watu 50 kwa hiyo ni sawa na buku 5 Me Nimeona sio tu nimesepa anatukamua tu somo hamna bob...
 

ha ha ha ha ha ha ha tehe tehe tehe tehe tehe teh kwa kwa kwa kwa kwa kwa.
Rakims leo umenichekesha kweli na hili jibu lako,lakini lipo poa sana,acha nikacomment kabisa,leo na maswali kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Okey Rakims kama nilivyokwambia leo nina maswali.
Wakati nafanya astral body nilikuwa nimeweka net juu,ghafla net ilikatika na kunidondokea,nilijikuta nikipata mshtuko sana hadi nikahamka,je ina madhara yoyote ya kuweza kurudisha zoezi nyuma au bado ninakuwa na hofu sana na zoezi ?
Pili,baada ya kushtuka niliendelea na zoezi,wakati nipo ktk zoezi kuna wakati nilihisi nimeona mwanga na ghafla mwanga ukapotea,baada ya muda nilijihisi nimeinuka na kukaa kwa sekunde kama 5 hivi na kurudi nilipokuwa nimelala,vipi hapo nako inakuaje ?
 
Last edited by a moderator:

ondoka focus kwenye mwili focus kwenye kifua yani moyo na ubongo au third eye utanipa mrejesho zaidi ya huu pia kuna audio guide nakuandalia nitakupatia ikiwa tayari ambayo nikiiprove nipe siku mbili niitambue ila endelea na zoezi mwanga ule ni wakufungua astral world... kila kitu utakiona kina nuru hiyo in astral world....
na hiyo hofu weka pembeni inarudisha nyuma awareness
hiyo audio guide yaweza kukufanya upitiwe usingizi ila muda ukifika utajihisi kuamka

"Rakims"
 
Last edited by a moderator:
naona hajali za barabarani zitapungua. sasa tutarajie ajali za nafsini kwa ukitoka tu inakuwa nafsi imeuacha mwili.
 

Mkuu kama huko kuna raha ya nini utake rudi tena humu duniani? We baki humo humo ndugu hahaaaaaaa
 

Ha ha haaa mkuu ebu tuambie ulijaribu tenaa jion? Kama vp tupe majibu...
 
Mkuu Rakims huo ulimwengu mwingine ni vitu gan unaenda kujifunza huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…