Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok Nafasi Zimejaa Tunaanza Somo Anaeingia Sasa Hivi Analipia 15000... darasa linaanza jumatatu saa 09:00 usiku hadi saa 11:00 usiku
heeee!
hiiiiii
mara ya kwanza story ilivoanza....mpaka ilivobadilika na kuwa biashara, siamini!. Mi namshauri angetoa elimu hapa bure mpaka wafuasi wafikie levo ambayo watajenga imani na mwalimu halafu ndo aanzishe darasa la kulipia. Au atende muujiza wowote ambao utatufanya tumwamini, na leo ndo j.3 mliopo darasani mbona hamjaja kutujulisha kama kweli darasa limeanza!? mmefundishwa nn? ticha kaeleweka? fungukeni'!
That's Non Of Your Concern!! Kasome Gazeti Za Udaku Utapata Uongo Mwingi Unaoutaka Halafu Kwa Nini Usiwaulize Nani Kalipia Hadi Sasa Waliopo Kwenye Darasa.. Pia Umeshasema Ni Story Ya Nini Unaifuatilia? Acha Walioipenda Wanunue Nakala. Be Like A Man Son And Grow Up...
"Rakims"
mliokuwa darasani mbona kimya tu! Somo lilieleweka?
halikueleweka ticha mwenyewe hakuwepo halafu asubuhi anaremove watu mara anawarudisha propaganda nyingi mara wengine watukanane harafu eti asubuhi anatwambia tumchangie mia mia za chai tupo watu 50 kwa hiyo ni sawa na buku 5 Me Nimeona sio tu nimesepa anatukamua tu somo hamna bob...
Okey Rakims kama nilivyokwambia leo nina maswali.
Wakati nafanya astral body nilikuwa nimeweka net juu,ghafla net ilikatika na kunidondokea,nilijikuta nikipata mshtuko sana hadi nikahamka,je ina madhara yoyote ya kuweza kurudisha zoezi nyuma au bado ninakuwa na hofu sana na zoezi ?
Pili,baada ya kushtuka niliendelea na zoezi,wakati nipo ktk zoezi kuna wakati nilihisi nimeona mwanga na ghafla mwanga ukapotea,baada ya muda nilijihisi nimeinuka na kukaa kwa sekunde kama 5 hivi na kurudi nilipokuwa nimelala,vipi hapo nako inakuaje ?
Wananyoa nywele hasa watoto mkuuHii inatofauti gani nawachawi wetu au wawanga ambao wanaweza kuingia ndani lkn hawawezi kuondoka hata na sindano?
Wakuu hii kitu mi nimefanya na kui-control,kuna raha yake kweli,ila pale kurudi kwenye ulimwengu wa kawaida huwa ni struggle kweli,nahisi kufa kupo kabisa kuweni makini,unaweza ukawa ulimwengu mwingine ukashindwa kurudi huu tunaoishi,huwa nikianza hii ishu mpaka napata kazi kurudi nilipotoka.
Guys nimejarib dis morning....wakati wa kutengana miili nj shidaaa u feel like hell yaan ubarid unauckia unaanzia miguuni kwene unyayo....unapanda taratib then take over inatakoa very slowly....separation of body! Nimeamua nijikurupue maana kuna imetoke very strange! But ntajarib tenaa jion