Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Hii kitu huwa inanitokea sometimes hasa nikiwa alone nmetoka kuoga ila huwa najaribu kwa nguvu zote kuikataa,huwa ninadhani ni sababu ya uchovu ila sasa naanza kuelewa kitu..ila kidogo nimetishika mkuu Rakims
 

Mkuu asante sana kwa ilmu nzuri sana....kwa watu maalumu zaidi.

Naomba nami nichangie kiduchu.

Hizi ilmu zaitwa Universal Life Force Energy.

Na ili ufanikishe kuutumia mwili wako katika nguvu zake ...lazima ujue kwanza kua ipo miili aina 7.

1.Physical body...huu mwili ni kila mtu anao..na huu mwili ukiutegemea huezi fanya hayo mambo ya ajab ajab...itabid ufanye mambo yanayo endana na mwili wako huu.

2.Aura body. ..ndio mwili wa pili unaounfana na huo mwili wa kwanza.
Una umbali wa inchi 3 mpk 8.

Ukiweza kuutumia huu mwili utakua tafaut kias ba ule wa mwanzoni.

Na hapo utaweza kujimudu na athari mbaya...na utaoata nguvu pia.

3. Astral body..ndio ambao ulio tuelimisha hapa.

Kwa hiyo ungetufafanulia vzur ili sie wanafunzi tujue kua kueza fanya hayo mambo ..itakua ugumu mpaka tukieza kuondoka katika hii miili tulii nayo ya kawaida.


Utaona ni zoezi gumu ukianzia hatua ya mbele kabla hujamaliza hatua ya mwanzo.
 
Last edited by a moderator:
uchawi sasa huu tunafundishana wanfa sasa marekano unasafiri kwa kutumia nini
 
astral projection is used these days by experienced wizards,witches and satanists,,practising this causes one to be old aged
 

To be honest i like people like you who do not get descouraged by what other people's opinion,hujaacha kutoa kile unachokijua na kuamini despite maneno mbofumbofu wanayokwambia..Hongera sana mkuu..
Tofauti yako na Pasco inawezekana ni waalimu wenu au labda level mnazoobgelea,so wew elezea unachokijua na yey (akipenda)ataelezea anachokijua pamoja na precautions zake including the cord.
 
Last edited by a moderator:
je unaweza kutoka nje ya mwli ukaenda kuiba pesa mahal na ukirudi ktk mwil halis ukaziona na kuzitumia km kawaida, au kutenda uhalfu wowote
 
Rakims naomba unisaidie kwa hili mimi mara kazaa utokewa na hali yakumuona mtu kihisia zen baada ya muda kidogo yule yule mtu namuona livu akiwa karibu yangu au hata anapita kwa mbali Je hii inausika na nn ktk maswala ya uwezo wa binadamu au nayo ina-relate na AP
 
Hii kitu huwa inanitokea sometimes hasa nikiwa alone nmetoka kuoga ila huwa najaribu kwa nguvu zote kuikataa,huwa ninadhani ni sababu ya uchovu ila sasa naanza kuelewa kitu..ila kidogo nimetishika mkuu Rakims

Wewe ukifanya kwa umakini utaenda hadi mbinguni 🙂
 
Duuu, nitarudi baadaye kusoma vzr maana.... binadamu bana!!!
 
je unaweza kutoka nje ya mwli ukaenda kuiba pesa mahal na ukirudi ktk mwil halis ukaziona na kuzitumia km kawaida, au kutenda uhalfu wowote

Nadhani mkuu Alisha sema ukiwa umetoka nje ya mwili huko utakuwa una uwezo wakuona may b na kufanya maongezi lkn huwezi gusa au kuchukua kitu kwa sababu hizo vitu vyote vipo physical na ww haupo physical mwili wako umesha uacha ,,, mkuu correct me if I am wrong
 
Halafu mwisho wa yote unapata faida gani ukifanya hivyo? kweli shetani yupo kazini
 
Mkuu nivizur kupitia post zilizo tangulia

Nimezipitia ila sijaona faida yake. Kuliko ukae kama mstimu wa umeme, usitikishike sijui ubongo uparalaizishe mwili, si heri ukae na kalamu na karatasi upange mradi wa kufanya, business hivi, au uruke kamba ufanye mazoezi upunguze kitambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…