Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimezipitia ila sijaona faida yake. Kuliko ukae kama mstimu wa umeme, usitikishike sijui ubongo uparalaizishe mwili, si heri ukae na kalamu na karatasi upange mradi wa kufanya, business hivi, au uruke kamba ufanye mazoezi upunguze kitambi
Kuna vitu vinaogopesha, sasa hiyo sijui niite nafsi make sio mwili, inanyanyuka kwenda wapi
huu si uchawi huu? Waafrica hatukunyimwa vyote tena nahisi tumependelewa mnoo
Rakims ukinyanyuka hivo mi mwingine anaona pia?
Nidhamu ya uoga waifahamu ndugu? Nadhani umemaanisha mi ni muogaUna nidhamu ya uoga dada.
Nidhamu ya uoga waifahamu ndugu? Nadhani umemaanisha mi ni muoga
ni kweli mi nimuoga si kidogo mende tu ananikimbiza ndani hivo kunyanyua mwili ntawezea wapi
hata siwezi
Nidhamu ya uoga waifahamu ndugu? Nadhani umemaanisha mi ni muoga
ni kweli mi nimuoga si kidogo mende tu ananikimbiza ndani hivo kunyanyua mwili ntawezea wapi
hata siwezi
Hata mi sidhani kama nahitaji msaada wowote ule kutoka kwakoSina cha kukusaidia zaidi 😀
hii ya kutoka nje ya mwili naiogopa, labda mnifundishe jinc ya kupaa physicaly nataka niende kijijn kwetu cna nauli.
JF kila kitu kinapatokana kasoro uzima wa milele maana hata kifo unaweza pata hApa
Nimezipitia ila sijaona faida yake. Kuliko ukae kama mstimu wa umeme, usitikishike sijui ubongo uparalaizishe mwili, si heri ukae na kalamu na karatasi upange mradi wa kufanya, business hivi, au uruke kamba ufanye mazoezi upunguze kitambi
Rakims naomba unisaidie kwa hili mimi mara kazaa utokewa na hali yakumuona mtu kihisia zen baada ya muda kidogo yule yule mtu namuona livu akiwa karibu yangu au hata anapita kwa mbali Je hii inausika na nn ktk maswala ya uwezo wa binadamu au nayo ina-relate na AP
Nadhani mkuu Alisha sema ukiwa umetoka nje ya mwili huko utakuwa una uwezo wakuona may b na kufanya maongezi lkn huwezi gusa au kuchukua kitu kwa sababu hizo vitu vyote vipo physical na ww haupo physical mwili wako umesha uacha ,,, mkuu correct me if I am wrong
Nimezipitia ila sijaona faida yake. Kuliko ukae kama mstimu wa umeme, usitikishike sijui ubongo uparalaizishe mwili, si heri ukae na kalamu na karatasi upange mradi wa kufanya, business hivi, au uruke kamba ufanye mazoezi upunguze kitambi
Usisahau kuwakumbusha kuwa wanapofanikiwa inapunguza na muda wa kuishi.
Hii kitu niliwahi kuisikia siku za nyuma yaani MTU anapokuwa ameacha mwili kitandani na kuondoka ki-telepath unaweza kuuona lakini nafsi ipo mbali inavinjari.
Mtakao jaribu mtupe majibu.