Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

JF kila kitu kinapatokana kasoro uzima wa milele maana hata kifo unaweza pata hApa
 
Nimezipitia ila sijaona faida yake. Kuliko ukae kama mstimu wa umeme, usitikishike sijui ubongo uparalaizishe mwili, si heri ukae na kalamu na karatasi upange mradi wa kufanya, business hivi, au uruke kamba ufanye mazoezi upunguze kitambi

Faida zipo nyingi sana mkuu,, kuliko hata hayo uyasemayo, sema it take time and effort mpaka kufikia hatua hii..pia the inspiration you seek is already with in you be silent and listen
 
Usisahau kuwakumbusha kuwa wanapofanikiwa inapunguza na muda wa kuishi.
Hii kitu niliwahi kuisikia siku za nyuma yaani MTU anapokuwa ameacha mwili kitandani na kuondoka ki-telepath unaweza kuuona lakini nafsi ipo mbali inavinjari.
Mtakao jaribu mtupe majibu.
 
Kuna vitu vinaogopesha, sasa hiyo sijui niite nafsi make sio mwili, inanyanyuka kwenda wapi
huu si uchawi huu? Waafrica hatukunyimwa vyote tena nahisi tumependelewa mnoo
Rakims ukinyanyuka hivo mtu mwingine anaona pia?
 
Kuna vitu vinaogopesha, sasa hiyo sijui niite nafsi make sio mwili, inanyanyuka kwenda wapi
huu si uchawi huu? Waafrica hatukunyimwa vyote tena nahisi tumependelewa mnoo
Rakims ukinyanyuka hivo mi mwingine anaona pia?

Una nidhamu ya uoga dada.
 
Last edited by a moderator:
Nidhamu ya uoga waifahamu ndugu? Nadhani umemaanisha mi ni muoga
ni kweli mi nimuoga si kidogo mende tu ananikimbiza ndani hivo kunyanyua mwili ntawezea wapi
hata siwezi

Sina cha kukusaidia zaidi πŸ˜€
 
hii ya kutoka nje ya mwili naiogopa, labda mnifundishe jinc ya kupaa physicaly nataka niende kijijn kwetu cna nauli.
 
hii ya kutoka nje ya mwili naiogopa, labda mnifundishe jinc ya kupaa physicaly nataka niende kijijn kwetu cna nauli.

:thumbup::thumbup::thumbup:πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mbona nimeijaribu mara tano lkn bado sijapata majibu.
 
Nimezipitia ila sijaona faida yake. Kuliko ukae kama mstimu wa umeme, usitikishike sijui ubongo uparalaizishe mwili, si heri ukae na kalamu na karatasi upange mradi wa kufanya, business hivi, au uruke kamba ufanye mazoezi upunguze kitambi

Saumefuata nini huku kama unajua hakuna faida kwa upande wako? Milupo mingine bana hailali na njaa
 
hapana hii sio astral projection hii yako ni second sight ni uwezo wa mtu kuhisi uwepo wa mtu akiwa mbali kiasi cha kumvutia hisia za uwepo wake hii hupelekea mtu ikiwa imekolea kusense tatizo na likaja kweli...

Rakims
 
Ndivyo Ilivyo Lakini Kwa Mtu Aliekomaa Huweza Kumove Things By Mind...

Anateleport Lakini Sio Mbali...

Rakims
 
Nimezipitia ila sijaona faida yake. Kuliko ukae kama mstimu wa umeme, usitikishike sijui ubongo uparalaizishe mwili, si heri ukae na kalamu na karatasi upange mradi wa kufanya, business hivi, au uruke kamba ufanye mazoezi upunguze kitambi

Ndio Maana Sio Wote Madaktari Wa Binadamu Wapo Wa Mifugo Na Magari Pia....
Sio Kitu Kimoja Wote Lazima Mfanye Vingine Kubali Vikupite Kama Huvioni...

Rakims
 
mwenye uwezo wa kuongeza na kupunguza umri wa mtu ni mwenyezi mungu... kama huamini uwepo wa mungu utaona umepunguza....

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…